kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ukiwa na dstv utajiepusha na haya[emoji116] [emoji116]Mpira wa TZ una stress nyingi burudani kidoogo
bora ulipie DSTV ufaidi EPL
Mkuu unaweza kusaidia kavideo kanakoonyesha hilo tukio, ili tujipange kukata rufaa?Mkude alimdondosha mwamuzi kwa kumpuga mtama, then mwamuzi aliposimama akamlima red card, baada ya siku tatu kamati ya 'wahuni' inakaa na kuifuta red card na kumpa kalipio mwaluzi, tena bila hata kusoma report ya mechi ile......
Huyu mwenye nyumba ataku mlevi, viti vya plastick anavitumia sebuleni.Ukiwa na dstv utajiepusha na haya[emoji116] [emoji116] View attachment 412731
Tatizo hauwezi kupata viongozi wa soka ambaye sio Simba au Yanga...Nadhan wakati huu ni muda muafaka kabisa kwa tff ya malinzi kuzifumua hizi kamati kwa kuwaondoa ma-simba na ma yanga wanaosababisha 'fujo' na kupindisha maamuzi ya hizo kamati kwani wanajulikana
Hivi Julio aliwacha kufundisha ndani ya Ligi ipi vile - EPL au La Liga?Nilishangaa juzi Julio kustaafu mpira kwa ubabaishaji wa waamuzi,hapa sio waamuzi tu shida iko pale TFF
Ngoja niendelee kufurahia maisha mwaka wa nne sasa sishabikii kitu kinachoitwa mpira wa Tanzania hata timu ya Taifa.....maana niliona napata stress zisizo na maana bila sababu.....eti Simba mara Yanga....siku hizi si kuna Azamu...ni ujinga mtupu!!!
Sijakuelewa vyema kwamba Julio akiacha kufundisha hapa............Hivi Julio aliwacha kufundisha ndani ya Ligi ipi vile - EPL au La Liga?
HII NDIO KAMATI YA MASAA 72 ILIYOBATILISHA KADI NYEKUNDU YA JONAS MKUDE NA KUMFUMGIA MARTIN SANYA MIAKA. 2Akitoa maoni yake jana katika kipindi cha sports extra, alitilia shaka maamuzi ya kamati iliyoamua kuwajadili waamuzi na kuwalaumu kwa kushindwa kuumudu mchezo wa Simba na Yanga.
Akienda mbali zaidi kwa kusema eti maamuzi hayo yanachukuliwa kwa kuwa wajumbe wengi ni wapenzi wa Simba.Huu ni uchochezi na amekuwa akifanya fitina nyingi za namna hii dhidi ya Simba.
Anachokitafuta hatukijui lakini ajue ameshaeleweka msimamo wake dhidi ya Simba na si vizuri kuendelea kuprovoke wapenzi wa Simba kwa kutumia majungu pasipokuwa na sababu za kisayansi.
Hafai kuyafanya haya katika media kama Clouds.Anaweza akafanya haya katika blog yake tu.
HII NDIO KAMATI YA MASAA 72 ILIYOBATILISHA KADI NYEKUNDU YA JONAS MKUDE NA KUMFUMGIA MARTIN SANYA MIAKA. 2
WAJUMBE
1. MSAFIRI MGOYI (SIMBA) kamati utendaji tff
2.SALUM CHAMA (SIMBA)M/kit chama cha marefa
3.STEVIN MGUTO (SIMBA)mjumbe bodi ya ligi
4. SAID MOHAMED (SIMBA)makam mwenyeki bodi ya ligi
5.BARUHANI MUHUZA (SIMBA)mjube
6.BONIFAS WAMBURA (SIMBA) C.E O. bodi ya ligi
7.JONAS KIWIA (SIMBA)Mkurugenzi wa mashindano tff
8.JOEL BALISIDYA (SIMBA)Afsa wa ligi bodi ya ligi
9.FATMA ABDALLAH (SIMBA) ofice maneger bodi ya ligi
10. CHARLES NDAAGALA (YANGA) katibu chama cha marefa
11.PHELEMON NTAHILAJA (YANGA) mjube
12.ROSE MSAMILA (YANGA) Asst afsa wa ligi bod ya ligi
13.MACHAEL NGOGO (AIJULIKANI) Asst afsa wa ligi bodi ya ligi
Hawa ndio wajumbe walishiriki kikao cha maamuz yaliyo fanyika jana na kwa uhuwiano huu mlitegemea nn kama sio kutoa maamuzi ya ajabu ya kufuta kadi ya mkude na mengine ya siyo faa ili kuwaaminisha wana simba kwamba kweli walionewa katka mchezo uliomalizika kwa sare ya moja mojaView attachment 412872
Akitoa maoni yake jana katika kipindi cha sports extra, alitilia shaka maamuzi ya kamati iliyoamua kuwajadili waamuzi na kuwalaumu kwa kushindwa kuumudu mchezo wa Simba na Yanga.
Akienda mbali zaidi kwa kusema eti maamuzi hayo yanachukuliwa kwa kuwa wajumbe wengi ni wapenzi wa Simba.Huu ni uchochezi na amekuwa akifanya fitina nyingi za namna hii dhidi ya Simba.
Anachokitafuta hatukijui lakini ajue ameshaeleweka msimamo wake dhidi ya Simba na si vizuri kuendelea kuprovoke wapenzi wa Simba kwa kutumia majungu pasipokuwa na sababu za kisayansi.
Hafai kuyafanya haya katika media kama Clouds.Anaweza akafanya haya katika blog yake tu.
Sio kweli. Nenda you tube tazama. Jamaa hakumgusa wala. Refa ni muhuni sanaMkude alimdondosha mwamuzi kwa kumpuga mtama, then mwamuzi aliposimama akamlima red card, baada ya siku tatu kamati ya 'wahuni' inakaa na kuifuta red card na kumpa kalipio mwaluzi, tena bila hata kusoma report ya mechi ile......