Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Msuva na samata wameingia mechi ikiwa ishaisha kwa waarabu. Wanaongoza 2-0 na baadae kidogo Tanzania akapata red card. Hawa waarabu wanacheza ulaya ambapo wanalipwa hela nyingi sana lazima wahifadhi nguvu hawawezi kuendelea kutumia nguvu kubwa wakati ambao tayari mechi ipo upande wao kiushindi.
 
Uwanja wa mkapa umejengwa kipindi cha vyama vingi
 
Mwalim aliona morocco michezo yao ipoje ndio maana akaona asianze na mastaa ambao wangeufanya mchezo ukachemka na kusababisha kufungwa mabao mengi zaidi

kifupi mwalim alitambua mapema morocco kwa vyovyote walikua wanatoka na arama 3

nampongeza mwalimu kwa kuliona hilo na kufanikiwa kupunguza idadi ya mabao, nazani wangeanzia wakina msuva na samatta tungefungwa magoli zaidi ya hayo mawili.

exaliothyuda
jf____geita
 
Nadhani game plan ya Mwalimu, ilikuwa ni kuanza na wachezaji wanao kaba sana, na walio tayari kugongana sana na wapizani, Samara na Msuva sio wakabaji wazuri, na hawapendi kungongana sana.
Kwa kifupi tuheshimu mipango ya Mwalimu, Kwa Morroco hii kama timu haikabi sana unaweza kupingwa goli za aibu
 
Kikosi cha jana kilikuwa bora sana.
Huwezi kulinganisha na mechi ya kwanza. Mapungufu madogo kwa kipa.
Wazee wanaojiita wazoefu hawatakiwi tena stars.
 
alifanya makusudi ili tusiisumbue morroko. nchi yake. huyu kocha wa kufukuza.
 
Tumekufa kiuoga
 
Nadhani hayo maoni na maswali yamekuja baada ya dk 90 kuisha!

Fikiria kama Starts wangeshinda, unadhani wangekuwa wanasemaje baada ya dk 90?
Wangekuwa wanasema Kocha alichagua kikosi kizuri.
 
CCM imemfanyia nini mamako, kwa akili zako za kipumbavu hivyo utaendelea kuwa maskini na ukoo wako mkitafuta wa kumlaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…