Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Msuva na samata wameingia mechi ikiwa ishaisha kwa waarabu. Wanaongoza 2-0 na baadae kidogo Tanzania akapata red card. Hawa waarabu wanacheza ulaya ambapo wanalipwa hela nyingi sana lazima wahifadhi nguvu hawawezi kuendelea kutumia nguvu kubwa wakati ambao tayari mechi ipo upande wao kiushindi.kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia
taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.