Shafii Dauda na Dahuu wateuliwa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam

Yani hawa watu maarufu, wasanii, plus watangazaji wamegundua kuna limkate flani hivi likuuuuubwa sana kwenye chama cha CCM. Basi kila mmoja anapambana akajaribu kujimegea kidogo.
 
Ila hata Kama CCM imechoka itamteua Lucas Mwashamba kwenye kitengo gani?. Lazima tuwe wa kweli. Labda ateuliwe kwenye kitengo Cha kuosha na kutunza mbwa wa mawaziri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
Kuna yule CHAWA huwa anaweka na Namba ya Simu kurahisisha Mawasiliano vipi yeye suala la TEUZI au hana SIFA?


Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Use brain. Habari za wanaCCM zinanihusu?
 
Hao wameteuliwa kutokana na kukidhi sifa .maana nafasi inahusu mambo ya michezo .ambapo mtu kama Shaffih Dauda ni mwanamichezo mzuri na mwenye uzoefu mkubwa katika eneo hilo la michezo.
 
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Hivi wanaangalia weledi wa mtu au ilimradi liende? Mbona wanapeleka umbea umbea kwenye chama, sijaona mtu sahihi kabisa kati ya hao wa2 , ndio maana sasa kila mtu anakimbilia kwenye kusikika redioni iwe ni mtangazaji au mpiga soga. Sishangai sasa kila taaluma ya mtu yeyote akili na matarajio yake akimbilie kwenye sihasa kupitia njia yyte ile. Inch inaenda kubaya sana, hasa unapohamisha tasnia hata ya ulinzi wa nchi ukaihamishia kwenye Siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…