Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

No doubt we ndo Shafii mwenyewe, si kwa povu hili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..

timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
 
Tangu aseme nyie ni under.......mnamchukia sana shabiki mwenzenu kwanini?
 
Mimi nafikiri jamaa anajitahidi kuwa mkweli, bila kuonesha mapenzi. Na kwa kusema Simba ni underdog kwenye group lake inaweza saidia team zingine kuidharau, siku wanakja kujua ni "Top Dog" washacharazwa mechi zote za home na Simba ikapeta.

Tuweke akiba ya furaha mechi ndio zinaanza
 
Kabisa mkuu nimecheki ile game waarabu wanafitina sana. Jamaa apigwa redcard hadi anataka kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba mna mechi tano bado tulieni mpira una maajabu kushinda game ya jana isiwafanye mka anza kupandisha mabega juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…