Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shaffi anafahamu kuucheza mpira na kuuchambua ..kwangu future TFF president..ana passion na soka (Ndondo cup live kideoni)Yanga walitaka kumsajili akiwa anasoma Azania ...sasa Haji kafanya nini kwenye soka hata UMISETA hajacheza..wote mnaomponda labda mjini mmekuja au chuki za kike....Mtanzania pekee aliyetazama mechi nyingi za world cup na EUFA finals....nilishangaa Manara anasema Dauda alikuwa anasukuma vitorori bank..MTU wa IT anafanya vipi kazi hizo..mwingine anazungumzia hajui English..wakati IT INA lugha zake..kwenye programming English ya nini.....SIMBA nyie ni underdog hata kwa YANGA...Ubingwa Yanga Mara 27 nyie 19...mechi tumewafunga nyingi,magoli tumewafunga mengi...shubamit kenge zenu..takwimu zinaongea sio makelele
Haji anapenda kusema Dismas ten wakuja mbona hathubutu kusema Shafii wakuja...wakati Haji anasoma Jitegemee kwenye madarasa ya mabati..Shaffi form one mpaka six Azania..wapi na wapi..Shafii kasoma PCM ..Haji sijui KLF masomo ya kike...nikiongea mwanaume kaa kimya jiji letu tuliosoma Tambaza na Azania tu
No doubt we ndo Shafii mwenyewe, si kwa povu hili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..

timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
 
Tangu aseme nyie ni under.......mnamchukia sana shabiki mwenzenu kwanini?
FB_IMG_1547328537704.jpg
 
Mimi nafikiri jamaa anajitahidi kuwa mkweli, bila kuonesha mapenzi. Na kwa kusema Simba ni underdog kwenye group lake inaweza saidia team zingine kuidharau, siku wanakja kujua ni "Top Dog" washacharazwa mechi zote za home na Simba ikapeta.

Tuweke akiba ya furaha mechi ndio zinaanza
 
Dauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..

timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
Kabisa mkuu nimecheki ile game waarabu wanafitina sana. Jamaa apigwa redcard hadi anataka kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..

timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
Simba mna mechi tano bado tulieni mpira una maajabu kushinda game ya jana isiwafanye mka anza kupandisha mabega juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom