mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
TeheteheteheteheKitu ambacho Shaffih Dauda anaweza kuchambua kwa usahihi n MCHELE tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TeheteheteheteheKitu ambacho Shaffih Dauda anaweza kuchambua kwa usahihi n MCHELE tu
Sent using Jamii Forums mobile app
No doubt we ndo Shafii mwenyewe, si kwa povu hili!Shaffi anafahamu kuucheza mpira na kuuchambua ..kwangu future TFF president..ana passion na soka (Ndondo cup live kideoni)Yanga walitaka kumsajili akiwa anasoma Azania ...sasa Haji kafanya nini kwenye soka hata UMISETA hajacheza..wote mnaomponda labda mjini mmekuja au chuki za kike....Mtanzania pekee aliyetazama mechi nyingi za world cup na EUFA finals....nilishangaa Manara anasema Dauda alikuwa anasukuma vitorori bank..MTU wa IT anafanya vipi kazi hizo..mwingine anazungumzia hajui English..wakati IT INA lugha zake..kwenye programming English ya nini.....SIMBA nyie ni underdog hata kwa YANGA...Ubingwa Yanga Mara 27 nyie 19...mechi tumewafunga nyingi,magoli tumewafunga mengi...shubamit kenge zenu..takwimu zinaongea sio makelele
Haji anapenda kusema Dismas ten wakuja mbona hathubutu kusema Shafii wakuja...wakati Haji anasoma Jitegemee kwenye madarasa ya mabati..Shaffi form one mpaka six Azania..wapi na wapi..Shafii kasoma PCM ..Haji sijui KLF masomo ya kike...nikiongea mwanaume kaa kimya jiji letu tuliosoma Tambaza na Azania tu
Hamnaga mchambuzi hapo labda mkia wa mkiawambuziView attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
unatafuta boro wakuja
Nimeangalia mpira wao jana wote wanapigika vizuri tuAs Vita na AL AHLY ndo wababe wa kundi wewe na huyo mualgeria ndo mgombanie points
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu nimecheki ile game waarabu wanafitina sana. Jamaa apigwa redcard hadi anataka kuliaDauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..
timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
Simba mna mechi tano bado tulieni mpira una maajabu kushinda game ya jana isiwafanye mka anza kupandisha mabega juuDauda aliposema Simba ni underdog kwenye group Lake bila hata kufanya utafiti kujua record za timu kama Sauora Nilishangaa sana..
timu Ndogo kama Saura basi tu kwasbabu imetoka Algeria anatishia watu..Ukiangalia hata Game ya Al ahly wamebebwa na refa kutoka kwao huko huko haina lolote simba atashinda game zote home na moja ugenini atadroo 2 ugenini wala hapotezi
Sio kushinda tu kuongoza kundi kwenye kundi ambalo umeitwa underdog si mchezoSimba mna mechi tano bado tulieni mpira una maajabu kushinda game ya jana isiwafanye mka anza kupandisha mabega juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata senene pia anaweza kuzichambua vizuri tuu akazikaanga!Kitu ambacho Shaffih Dauda anaweza kuchambua kwa usahihi n MCHELE tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Hyo George ni hatariii aisee.. Kuna siku alshachambua Liver Vs Man UniteD.. Aisee ndo kilichotokea!!Mwalimu kashasha na george ambangile wa magic fm.
Hivi ndio vichwa vyangu.
Hivi dauda angeweka mke wake rehani leo angeliwa na mashabiki mpaka afe.Tumekata mdomo leo. Maneno hayatoki kama anatombolewa