Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Nadhan una chili bnafc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi mtu akipiga sana makelele huwa tunadhani yupo deep ktk hiyo Tasnia anayopigia makelele!ananiboaga anasemaga 'still bado'
Yule msomi amesomea accountancy...alishafanya kazi bank ila aliacha kwakua ana kipaji cha kuchambua..anajitahd kias fulaniView attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Acha wivu wa kishamba....jaribu wewe tukuone....View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Sisi mtu akipiga sana makelele huwa tunadhani yupo deep ktk hiyo Tasnia anayopigia makelele!
Ndio tulivyo!ahahhahaaha kuna ukweli aisee
Technical caring acrobat deodorantMwalimu kashasha na george ambangile wa magic fm.
Hivi ndio vichwa vyangu.
Njoo pmChuki bnafc
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nadhan unamzungumzia Lwambano. samahan kwani mmeo hayumo humu JF au ID fake ndo inakupa kiburi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabongo bwana yan mtu akiongea ukweli ni adui na atengwe na jamii lakini akisema uongo cjuhi hapo ndo watu wamsifu? Kwani Ajibu na Niyonzima huwajuhi ni kweli Ajibu hana magoli hayo yaliyotajwa? Au ya Niyonzima yapo yametunzwa na FIFA mtaenda kuyadahi kama madai ya msimu uliopita?.
Akikuomba mzigo utampa??nampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hata kama humpendi lakini huo ndo ukweli....
Mbumbumbu fcMechi dhidi ya Mtibwa ingekuwa wanaongoza wao na Mtibwa akasawazisha katika mazingira yale, hadi leo ingekuwa kelele dunia nzima na viti wangeng'oa tena. That is Simba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu ni Mbumbumbu fc mwenzo, wameshamchenjia.
Una pepo la ngono weweHeee nadhan ni jina hilo hilo !jaman yule ndo image ya mwanaume wa kiafrica !teh teh shetan nipae!
Inawezekana halidhishwi na mumeweWe si unamme wewe??
Mpigie puli siku moja[emoji28]hahaah ujana hatar sana ! ukweli lwambano anasauti nzur sana jaman !yaan ht akimkosea mkewe ile saut ni tiba moja kubwa sana