Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene

Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Yule msomi amesomea accountancy...alishafanya kazi bank ila aliacha kwakua ana kipaji cha kuchambua..anajitahd kias fulani
 
Wabongo bwana yan mtu akiongea ukweli ni adui na atengwe na jamii lakini akisema uongo cjuhi hapo ndo watu wamsifu? Kwani Ajibu na Niyonzima huwajuhi ni kweli Ajibu hana magoli hayo yaliyotajwa? Au ya Niyonzima yapo yametunzwa na FIFA mtaenda kuyadahi kama madai ya msimu uliopita?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mechi dhidi ya Mtibwa ingekuwa wanaongoza wao na Mtibwa akasawazisha katika mazingira yale, hadi leo ingekuwa kelele dunia nzima na viti wangeng'oa tena. That is Simba.
Mbumbumbu fc
 
Back
Top Bottom