steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Inashangaza sana aiseeHawa watawa utaka pesa za nini ilhali hawana watoto na uhudumiwa na Kanisa Maisha yao yote!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana aiseeHawa watawa utaka pesa za nini ilhali hawana watoto na uhudumiwa na Kanisa Maisha yao yote!!.
Ushahidi lazima uthibitishwe mtu huongea tu kujinasua....mwosho siku ukute padri akaja kushinda......tuupe nafasi muda utaongeaKatibu wa baraza la maaskofu anasubiri nini kutoa tamko kuhusu huyo padiri? Huenda anaona sawa tu! Ni aibu kwa kanisa.
Unauhakika kafanya?Huyu padre ametudhalilisha sana wakatoliki jamani
Kitendo cha padre kutiwa hatianI kwa kosa la mauaji, huo ni udhalilishaji mkubwa kwa kanisa katolikiUnauhakika kafanya?
Hukumu haijatoka wewe ushatangulia mbele!!!
Unaongopa kwa faida ya nani?Halafu bado mnaukatoliki wakati tokea enzi ya ukoloni walikuwa wanawalawiti vijana wa kiume ambao leo ndio kina kardinali na maaskofu wenu
View attachment 3089107
HUPATI FAIDA YOYOTE KUANDIKA UONGO.
Huyu padre ametudhalilisha sana wakatoliki jamani
Halafu bado mnaukatoliki wakati tokea enzi ya ukoloni walikuwa wanawalawiti vijana wa kiume ambao leo ndio kina kardinali na maaskofu wenu
View attachment 3089107
Kwani dhambi wanafanya wakatoliki tu? Hii sio hoja. Ni takataka kama takataka nyingine
Unaongopa kwa faida ya nani?
Kitendo cha padre kutiwa hatianI kwa kosa la mauaji, huo ni udhalilishaji mkubwa kwa kanisa katoliki
Kanisa ni janga hasa Katoliki wameanza na Papa wao kubariki mashoga na ushoga sasa Mapadri wanashiriki kuua Albino! Bora lifutwe tu.
Povu ruksa.
Inaumiza, inaliza, inahuzunisha. Inaumiza zaidi kuwa mtu huna la kufanya kwa hao maharamia washenzi wa tabiaUpande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) umewasilisha maelezo ya ushahidi katika hatua ya awali, ukieleza utakuwa na mashahidi 52 na vielelezo 37.
Katika maelezo hayo ya ushahidi, mmoja wa mashahidi ameeleza mbinu iliyotumiwa na washtakiwa kumpora mtoto huyo na kutokomea, pia ikitajwa ahadi ya gari aina ya Toyota V8, maarufu kama shangingi, kwa baba wa mtoto.
Asimwe aliporwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwao Kijiji cha Bulamula, Kata ya Kamachumu wilayani Muleba mkoani Kagera, Mei 30, 2024 saa 2:00 usiku na kutokomea naye kusikojulikana.
Siku 17 baadaye mabaki ya mwili wake yalipatikana yakiwa yamefungwa kwenye mfuko wa sandarusi (kiroba) na kutelekezwa chini ya kalavati lililoko Barabara ya Makongora, Kitongoji Kabyonda, Kata ya Ruhanga wilayani humo.
Pia Soma:
- Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath
Siku kadhaa baadaye, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kuwashikilia watu tisa akiwemo baba wa marehemu, Novath Venanth na Padri Elpidius Rwegoshora na kuwafungulia kesi ya mauaji namba 17740/2024, katika Mahakama ya Wilaya ya Bukoba mkoani humo.
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Nurdini Masudi, Ramadhani Selestine, Rweyangira Alphonce, Dastan Bruchard, Faswiu Athuman, Gozbert Alikad na Desdery Everigist wote wakazi wa mkoani Kagera.
Kwakuwa kuna madrasa maostadh wanawala watoto na wewe kwakuwa umesoma huko tuseme umeliwa?Ni Kweli mliambiwa ukipigwa kofi geuka ule la pili
Dhambi ndio nini ?
Wakati ni hii criminal offence, kweli mmeshilikiwa akili
Nani kakudanganya!!?Hawa watawa utaka pesa za nini ilhali hawana watoto na uhudumiwa na Kanisa Maisha yao yote!!.
Hivi unadhani hata hilo v8 angelipata,ashatapeliwa tayariHuna baiskel ghafla V8 na mwanao kapotea? Tutakugawana
Prophet kuna muujiza huku..!!
Ni Kweli mliambiwa ukipigwa kofi geuka ule la pili
Dhambi ndio nini ?
Wakati ni hii criminal offence, kweli mmeshilikiwa akili