Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa kuna mazuri, lakni mazuri yao hayawezi kufuta mabaya yao, vivyo hivyo mabaya yao hayawezi kufuta mazuri yao. Ila penye ukweli, lazima tuseme. Kanisa katoliki lilificha ukweli kuhusu watawa walio wanajisi watoto.
Unajua kama hakuna dini yenye wafuasi, bila matatizo haya unayoyaongea?