Shahidi adai Padri Rwegoshora aliahidi kumpa V8 baba wa Mtoto Albino 'Asimwe'

Kwani dhambi wanafanya wakatoliki tu? Hii sio hoja. Ni takataka kama takataka nyingine

Suala siyo dhambi kufanyika au la. Shida ni kanisa kushiriki kuwaficha mabaladhuli wanaowalawiti watoto. Kwa miongo mingi, kanisa lilizima tuhuma za mapadri na watawa wengine za kuwanajisi watoto. Mpaka vyombo vya kimataifa vilipo ingilia kati ndipo Papa akaomba msamaha kwa wahanga wote.
 
Inaumiza, inaliza, inahuzunisha. Inaumiza zaidi kuwa mtu huna la kufanya kwa hao maharamia washenzi wa tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…