B BabaMia JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 270 Reaction score 554 Sep 8, 2024 #61 NIMEMKUMBUKA ASKOFU KODA. AISEEE.........ALIKUWA ZAIDI YA SHETANI.
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Sep 8, 2024 #62 eliakeem said: Ni sawa kuna mazuri, lakni mazuri yao hayawezi kufuta mabaya yao, vivyo hivyo mabaya yao hayawezi kufuta mazuri yao. Ila penye ukweli, lazima tuseme. Kanisa katoliki lilificha ukweli kuhusu watawa walio wanajisi watoto. Click to expand... Unajua kama hakuna dini yenye wafuasi, bila matatizo haya unayoyaongea?
eliakeem said: Ni sawa kuna mazuri, lakni mazuri yao hayawezi kufuta mabaya yao, vivyo hivyo mabaya yao hayawezi kufuta mazuri yao. Ila penye ukweli, lazima tuseme. Kanisa katoliki lilificha ukweli kuhusu watawa walio wanajisi watoto. Click to expand... Unajua kama hakuna dini yenye wafuasi, bila matatizo haya unayoyaongea?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Sep 8, 2024 #63 Duh aiseee
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Sep 8, 2024 #64 Tangawizi said: Unajua kama hakuna dini yenye wafuasi, bila matatizo haya unayoyaongea? Click to expand... Sina uhakika, bado sijaona uhusiano kati ya wafuasi na matatizo pia na dini.
Tangawizi said: Unajua kama hakuna dini yenye wafuasi, bila matatizo haya unayoyaongea? Click to expand... Sina uhakika, bado sijaona uhusiano kati ya wafuasi na matatizo pia na dini.