Hujui DC ni mkubwa kuliko Takukuru awapo madarakani.
Kwa nini hawakuripoti wakati ule takukuru badala yake wakaamua kutoa hiyo rushwa? Njama hizo za kizandiki dhidi ya mwanamapinduzi hazitafaulu mwisho haki itatendekeka. Kwanza rushwa ina pande mbili hao watoaji wanajiamini nini maana wao hawaburuzwi mahakamani.