Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.

Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?

IMG_20260228_214614_020.jpg

Akaandika Malisa

Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
 
Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.

Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?

View attachment 3550179

Ndio nini hii sasa? Ushirikina?
 
Huyu Mwanamke tunamwamini vipi? Kama ni Parody je?
 
Bhanaa weee Mapolisi wengi vyeti vya kazi sio vyao na huyo Shahidi wao inawezekana anatumia vyeti na Utambulisho wa marehemu ambaye alikufa akiwa SACP. Na sasa hivi huyu shahidi kashakuwa ASP.

Atakutana na nondo za Lissu kizimbani
 
Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
Sasa huyo mama, unayesema ni 'kada maarufu wa CCM yeye atawapeleka mahakama gani anakotishia kuwashtaki.

Hiyo taarifa ilivyoandikwa hapo inatia mashaka sana.

Huyu ni kama mtu asiyejuwa chochote, pamoja na kuwa kwake kwenye hiyo CCM.

Taarifa hii ni kiini macho au maigizo wanayofanya wenyewe kwa sababu wanazozijuwa wao..

Yaani mtu marehemu tokea 2021; tena polisi wampachike tu kwenye ushahidi wakati yeye tayari ni marehemu?

Huko Kisutu, kesi ilikoanzia, hao mashahidi hawakushirikishwa kwa njia yoyote ile kabla ya kesi kupelekwa mbele?

Huu utakuwa ni upuuzi wa ajabu sana.
 
Haishangazi hata kidogo. Bashite yupo hapo kama kielelezo kisichotiliwa mashaka kabisa kwenye maswala ya aina hiyo.
 
Mkuu hii Nchi inasikitisha mnoo 🤣
Simbachawene alivyosema asilimia 40 ya watumishi wa umma ni mizigo hakukosea, lakini tunakoelekea kutaeleweka tu.
 
Sasa huyo mama, unayesema ni 'kada maarufu wa CCM yeye atawapeleka mahakama gani anakotishia kuwashtaki.

Hiyo taarifa ilivyoandikwa hapo inatia mashaka sana.

Huyu ni kama mtu asiyejuwa chochote, pamoja na kuwa kwake kwenye hiyo CCM.

Taarifa hii ni kiini macho au maigizo wanayofanya wenyewe kwa sababu wanazozijuwa wao..

Yaani mtu marehemu tokea 2021; tena polisi wampachike tu kwenye ushahidi wakati yeye tayari ni marehemu?

Huko Kisutu, kesi ilikoanzia, hao mashahidi hawakushirikishwa kwa njia yoyote ile kabla ya kesi kupelekwa mbele?

Huu utakuwa ni upuuzi wa ajabu sana.
Atakutana na Lissu huyo Shahidi wa ziada ngoja tuone. Sasa kama yule Bagyemu Fundi viyoyozi ndio aliye fungua lile jalada la kesi ya uhaini haya mengine hayashitui
 
Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.

Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?

View attachment 3550179
Akaandika Malisa

Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
Hiyo "mime" imewekwa na simu janja, ukimaliza kuandika kwa simu janja lazima uhakiki ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom