Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
- Thread starter
- #21
Ngoja tuone itakavyokuwa halafu kwann umekuwa na hisia hasi kuhusu hiyo Meme? Na kwanini ije Meme ya hivyo na si nyingine?Hiyo "mime" imewekwa na simu janja, ukimaliza kuandika kwa simu janja lazima uhakiki ulichokiandika.
Huyo Shahidi wa ziada atakutana kizimbani na Lissu ndio hapo tutakapojua. Which is which
Na alishawaonya kuhusu haya mambo ya 29 Octoba lakini naona Jamhuri wanajikanyaga kanyaga tu.