Ndio nini hii sasa? Ushirikina?Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.
Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?
View attachment 3550179
Akaandika Malisa
Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
Huyu Mwanamke tunamwamini vipi? Kama ni Parody je?Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.
Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?
View attachment 3550179
Akaandika Malisa
Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
Bhanaa weee Mapolisi wengi vyeti vya kazi sio vyao na huyo Shahidi wao inawezekana anatumia vyeti na Utambulisho wa marehemu ambaye alikufa akiwa SACP. Na sasa hivi huyu shahidi kashakuwa ASP.Huyu Mwanamke tunamwamini vipi? Kama ni Parody je?
ccm imefika mwishoNdio nini hii sasa? Ushirikina?
Hahahah Lissu ni kichwa kingine kileJAmuhuri ni sisi watanganyika wote Inamaana Lissu mmoja tumemshindwa Hadi tusaidiwe na wafu
Sasa huyo mama, unayesema ni 'kada maarufu wa CCM yeye atawapeleka mahakama gani anakotishia kuwashtaki.Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said Mahamba ambaye Jamhuri imemtaja kama shahidi kwenye kesi ya Lissu ni mume wake na alishafariki toka mwaka 2021. Zingatia ujumbe, puuza hizo typo za "mime" badala ya "mume" akili za CCM ni kama mnavyozijua .!
Haishangazi hata kidogo. Bashite yupo hapo kama kielelezo kisichotiliwa mashaka kabisa kwenye maswala ya aina hiyo.Bhanaa weee Mapolisi wengi vyeti vya kazi sio vyao na huyo Shahidi wao inawezekana anatumia vyeti na Utambulisho wa marehemu ambaye alikufa akiwa SACP. Na sasa hivi huyu shahidi kashakuwa ASP.
Atakutana na nondo za Lissu kizimbani
Mkuu hii Nchi inasikitisha mnoo π€£Haishangazi hata kidogo. Bashite yupo hapo kama kielelezo kisichotiliwa mashaka kabisa kwenye maswala ya aina hiyo.
Atakutana na Lissu huyo Shahidi wa ziada ngoja tuone. Sasa kama yule Bagyemu Fundi viyoyozi ndio aliye fungua lile jalada la kesi ya uhaini haya mengine hayashituiSasa huyo mama, unayesema ni 'kada maarufu wa CCM yeye atawapeleka mahakama gani anakotishia kuwashtaki.
Hiyo taarifa ilivyoandikwa hapo inatia mashaka sana.
Huyu ni kama mtu asiyejuwa chochote, pamoja na kuwa kwake kwenye hiyo CCM.
Taarifa hii ni kiini macho au maigizo wanayofanya wenyewe kwa sababu wanazozijuwa wao..
Yaani mtu marehemu tokea 2021; tena polisi wampachike tu kwenye ushahidi wakati yeye tayari ni marehemu?
Huko Kisutu, kesi ilikoanzia, hao mashahidi hawakushirikishwa kwa njia yoyote ile kabla ya kesi kupelekwa mbele?
Huu utakuwa ni upuuzi wa ajabu sana.
Hiyo "mime" imewekwa na simu janja, ukimaliza kuandika kwa simu janja lazima uhakiki ulichokiandika.Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.