Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

Hiyo "mime" imewekwa na simu janja, ukimaliza kuandika kwa simu janja lazima uhakiki ulichokiandika.
Ngoja tuone itakavyokuwa halafu kwann umekuwa na hisia hasi kuhusu hiyo Meme? Na kwanini ije Meme ya hivyo na si nyingine?

Huyo Shahidi wa ziada atakutana kizimbani na Lissu ndio hapo tutakapojua. Which is which

Na alishawaonya kuhusu haya mambo ya 29 Octoba lakini naona Jamhuri wanajikanyaga kanyaga tu.
 
Mimi naamini majina yanafanana kwani wale Waendesha Mashtaka wa serikali walisema huyo shahidi wanaye tayari.
Maana yake siku ile wangekubaliwa ombi lao la kuongeza maelezo ya ushahidi angetoa huo ushahidi.
 
Kumbe lile sanduku la kuficha mashahidi lina serve kama jeneza piaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atakutana na Lissu huyo Shahidi wa ziada ngoja tuone. Sasa kama yule Bagyemu Fundi viyoyozi ndio aliye fungua lile jalada la kesi ya uhaini haya mengine hayashitui
Hata sijui kama kweli hii kesi itaendelea kama haya yanayosemwa hapa ni ya kweli.

Yaani shahidi marehemu asimame kwenye kizimba ahojiwe na mshtakiwa?

komedi ya namna hii haijawahi kutokea kokote duniani.

Kumbuka uzito wa kesi yenyewe ulivyo.
 
Mimi naamini majina yanafanana kwani wale Waendesha Mashtaka wa serikali walisema huyo shahidi wanaye tayari.
Maana yake siku ile wangekubaliwa ombi lao la kuongeza maelezo ya ushahidi angetoa huo ushahidi.
Majina yote matatu, na kwa mpangilio uleule. Patachimbika sana hapo.

Unakuja mahakamani kutoa ushahidi wa kesi ya uhaini; mshtakiwa hana haki ya kujuwa huyu shuhuda mhimu katika uhai wake asijue
 
Mbona "meme" mimi sioni kama ulivyoandika! Naona "mime", fuata ushauri wangu kuhusu simu janja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…