Shaka ahani msiba wa Mwele Malecela

Shaka ahani msiba wa Mwele Malecela

Amelia wapi hapo!!? Upuuzi tu,mnafikiri jf ni kipeperushi cha uhuru?
 
Hajichubui jamani, mwenzenu hapigwi na jua huyo, Chezea viete full Ac...Kama Polepole makunyanzi yaliisha akarudi ujanani unategemea handsome Shaka atakuaje?
Amelia wapi hapo!!? Upuuzi tu,mnafikiri jf ni kipeperushi cha uhuru?
Literature hiyo ndugu! Ulitaka umuone akilia na kuruka juu kama mmasai....😀😀😀🙏🙏🙏
 
Kifo cha huyu Mama japo sikuwahi kumwona ana kwa ana, kimetuumiza wengi ila basi hatuna la kufanya, Mungu wa rehema tunamwomba amjalie pumziko jema la milele, na Mzee Malecela, ajaliwe moyo wa subira maana si jambo rahisi.
 
Alioa mke mwingine (Anne Kilango), naona ndoa imemrudisha kwenye ujana...wanaume ni wadhaifu, hamuuwezi upweke.

Mungu Ampe Subira huyu Baba, na amlipe Kwa hii mitihani anayopitia, kuzika mtoto sio Jambo la mchezo, Mzee tunaweza kumuona Yuko Sawa nje, Ila maumivu anayopitia kwa ndani ni Kama nafsi iliyokufa na kukata tamaa....tumkumbuke kwenye maombi yetu.
Sio mtoto sema watoto ameshazika watano na mke juu,mi huwa namuonea sana huruma
 
Mwele angefariki kipindi cha JPM chama changu kingenitokeza kwa namna kilivyojitikeza?
 
Back
Top Bottom