Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Sio kweli, Lemutuz atakuwa kazaliwa miaka ya sitini mwanzoni mkubwa kidogo kwa Mwele.Lemutuz kazaliwa 1949 na Marehemu kazaliwa 1963
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, Lemutuz atakuwa kazaliwa miaka ya sitini mwanzoni mkubwa kidogo kwa Mwele.Lemutuz kazaliwa 1949 na Marehemu kazaliwa 1963
Hapana. Mama yake alishafariki. Huyo ni mke wa Malecela Mama Anna Kilango alimuoa uzeeni na hana mtoto nayeNihuyo Mama nadhani
Siyo. Huyo ni Anne Kilango mke wa Mzee Malecela alimuoa uzeeni. Mama ya Dr. Mwele alishafarikiOkay
Hilo ndojinalake ndg?Alifariki 1994 kama sikosei