Uyu mzee mwili bado unadai kama mwinyi
Hivi marehemu na Lemutuzi nani alikuwa mkubwa?
Alioa mke mwingine (Anne Kilango), naona ndoa imemrudisha kwenye ujana...wanaume ni wadhaifu, hamuuwezi upweke.
Mungu Ampe Subira huyu Baba, na amlipe Kwa hii mitihani anayopitia, kuzika mtoto sio Jambo la mchezo, Mzee tunaweza kumuona Yuko Sawa nje, Ila maumivu anayopitia kwa ndani ni Kama nafsi iliyokufa na kukata tamaa....tumkumbuke kwenye maombi yetu.
Hivi mama Mwele ni nani?
Kumbe alikuwa na washauri wenye busara, amefanya busara kumuoa mtu mzima mwenzie anayeijua ndoa....angeoa hawa slay queen's wanaovizia urithi angekuwa ameshakongoroka Kwa stress na matumizi makubwa ya vumbi la Kongo.Kwny hii ndoa nakumbuka Best man alikuwa Hayati Mzee Kitwana Kondo na Mshenga alikuwa Mzee Ally Hassan Mwinyi
Lemutuz mwenyewe ni Kama ameshapukutika bado tu kutoa taarifa publicDuh
Kuoa kumbe raha.kwa kweli ana maumivu makubwa maana watoto wake wanazidi kukuputika tu
😳Mwele angefariki kipindi cha JPM chama changu kingenitokeza kwa namna kilivyojitikeza?
Alifariki siku nyingiHivi mama Mwele ni nani?
Amemuoa Kilango miaka 20 iliyopita Wacha manenoAlioa mke mwingine (Anne Kilango), naona ndoa imemrudisha kwenye ujana...wanaume ni wadhaifu, hamuuwezi upweke.
Mungu Ampe Subira huyu Baba, na amlipe Kwa hii mitihani anayopitia, kuzika mtoto sio Jambo la mchezo, Mzee tunaweza kumuona Yuko Sawa nje, Ila maumivu anayopitia kwa ndani ni Kama nafsi iliyokufa na kukata tamaa....tumkumbuke kwenye maombi yetu.
Vipi Mumewe? Vipi Watoto?Mwili wa Dk Mwele utasafirishwa na kufika jumanne au jumatano.
Atazikwa kijijini kwao Mvumi Dodoma, utaratibu utakapojulikana wazi.
Paschal Mayala alisema Alikuwa MC Kwa Harusi yakeMadem wasomi wanachelewa sana kuolewa.
I wonderNaomba kujua, marehemu alikuwa ameolewa? Kama ndio kwanini familia ya mme isihusike zaidi na shughuli hizi!
Sasa hao watt na mumewe wako wapi?Paschal Mayala alisema Alikuwa MC Kwa Harusi yake
Mmmmmm Lemutuzi kwa hiyo Lemutuzi ana miaka 73? Du nimestaajabu, maana jamaa ujana mwingi sanaLemutuz kazaliwa 1949 na Marehemu kazaliwa 1963
Nilitaka nione anatoka kamasi kama zote!Literature hiyo ndugu! Ulitaka umuone akilia na kuruka juu kama mmasai....😀😀😀🙏🙏🙏
Miaka 20 ya wapi? Wamekutana bungeni juzi juzi....labda useme miaka 10Amemuoa Kilango miaka 20 iliyopita Wacha maneno
Le Mutuz Mobimba Nye Nye Nye yupoAlioa mke mwingine (Anne Kilango), naona ndoa imemrudisha kwenye ujana...wanaume ni wadhaifu, hamuuwezi upweke.
Mungu Ampe Subira huyu Baba, na amlipe Kwa hii mitihani anayopitia, kuzika mtoto sio Jambo la mchezo, Mzee tunaweza kumuona Yuko Sawa nje, Ila maumivu anayopitia kwa ndani ni Kama nafsi iliyokufa na kukata tamaa....tumkumbuke kwenye maombi yetu.
Malecela ana zaidi ya miaka kumi si mbun.geMiaka 20 ya wapi? Wamekutana bungeni juzi juzi....labda useme miaka 10