Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

Jambo lenyewe ni kutoa tangazo la kununua ndege nyingine tano🤣🤣🤣
 
Kutana na uteuzi wa usiku mnene

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kanunua ndege 5
 
Hakukuwa na lolote la maana maujinga jinga tu ya maccm.

 
Porojo hizo, bunge linazhirikishwa??
 
Oxford ya lumumba🤣🤣🤣
Pamoja na makosa ya lugha, huwa naeleweka na wenye lugha yao. Tatizo la kiingereza ni tatizo letu sisi waswahili, waingereza na wamerakani hawana shida na hilo, si tatizo kwao kama lilivyo kwetu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…