Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
"Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na kuchelewa kupata majibu sio kigezo cha kutoa shinikizo kwa Rais.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Muheza Tanga
13 Juni 2021







 
We, kawaeleze wenzako hawa mliokaa nao. Haya hayatuhusu. Kumbe unaweza kumtoa mtu shamba lakini kumtoa ushamba kazi kweli kweli
 
Na kama aliandika Barua kwa nini asiandike tena?
 
5haka usimsukumie mama kwenye siasa za mwendazake.

Mwendazake alitumia nguvu sana kuuzima upinzani akazimika yeye.
 
Ahangaikie kwanza ndoa yake,mumewe kule Mombasa anamkumbuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…