Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
๐Mimi ni mwana ccm! Niko Dodoma!! Pole sana mkurugenzi. Yaani kama uko kwenye timu ya watu wasiojulikana, basi tambua fika umeshanikosa.
Muda huu niko zangu Burundi huku na jamaa zangu akina Nkurunzinza. Nimeitika wito wa mzee wa tozo.
Tunapaswa kupongeza usimamizi mzuri wa kodi zetu!! Ok.Ni kweli, lakini pia tunapaswa kupongeza usimamizi mzuri wa matumizi ya kodi zetu.
Kama huko nyuma zilitafunwa hovyo kama njugu. Kwa nini sasa hivi msipongeze JPM kufumbua macho namna ya kuzisimamia.Tunapaswa kupongeza usimamizi mzuri wa kodi zetu!! Ok.
watakuja tena kuomba kura kwenye uchaguzi alafu utajua nani mjinga kati yao na wewe
Mwendazake hasafishiki Mzee,sawa alianzisha na Kwa miaka zaidi ya 4 anajenga tuu bila kulimaliza..
Huyu uelewa finyu SSH amemaliza vipi bendera fuata upepoMwendazake hasafishiki Mzee,sawa alianzisha na Kwa miaka zaidi ya 4 anajenga tuu bila kulimaliza..
SSH amelimaliza chini ya mwaka na nusu..
Kodi zikiliwa bila kufanya kazi mnalalama kama mbwaTufikie mahali tuheshimiane kama walipa kodi. CCM mnapata wapi ujasiri wa kujipa kiki kisa ujenzi wa daraja kwa kodi za walala hoi?
Mwendazake hasafishiki Mzee,sawa alianzisha na Kwa miaka zaidi ya 4 anajenga tuu bila kulimaliza..
SSH amelimaliza chini ya mwaka na nusu..
Wewe ni mjinga tu mavi weweSukuma gang mtamtaja sana huyu dikteta, na mtamwandika sana huyu dikteta lkn kamwe hafufuki na hatakumbukwa na yeyote.
Aliuwa, aliteka na alipora mali za watu, hakuna anayetaka hata kulisikia jina la jiwe.
Na wewe ulikufa wanasemaje huko uliko kuzimuSukuma gang mtamtaja sana huyu dikteta, na mtamwandika sana huyu dikteta lkn kamwe hafufuki na hatakumbukwa na yeyote.
Aliuwa, aliteka na alipora mali za watu, hakuna anayetaka hata kulisikia jina la jiwe.
Utakuwa shoga bila shakaHata Mimi nilimbeza aise, mnisamehe
Ila Mama ni zaidi ya Magufuli tukimwogopa Mungu
๐๐๐Nimecheka kwa sauti aiseMimi ni mwana ccm! Niko Dodoma!! Pole sana mkurugenzi. Yaani kama uko kwenye timu ya watu wasiojulikana, basi tambua fika umeshanikosa.
Muda huu niko zangu Burundi huku na jamaa zangu akina Nkurunzinza. Nimeitika wito wa mzee wa tozo.
Mama anatisha aise tuache maneno mengi,Ndani ya mwaka mmja Raia Samia amemaliza huo mradi ulioanza kujengwa miaka 4 iliyopita..
Na anazidi kuwaumbua kwenye sekta zoote,ajira hadi kilimo na miradi mingine mipya mingi..
Soma vibao hivi hapa Chini,anachapa barabara za lami Rukwa na iko hivyo mikoa yote ๐Mama anatisha aise tuache maneno mengi,
#We proud of Mama Samia
SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.
Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita
Na Mwandishi Wetu,Pwani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho kinaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati inavyoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2360896
Amesema hata baadhi ya watu waliokuwa wakibeza na kutoa kauli za kejeli kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo sasa wameumbuka.
View attachment 2360899
Shaka ameyasema hayo leo Septemba 18, 2022 baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja jipya la Wami ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 89.02 na zaidi ya Sh. bilioni 75 zimepangwa kutumika.
View attachment 2360901
Aidha amesema jambo la kufurahisha ni kwamba ujenzi wa daraja hilo unakwenda kuandika historia ya kuwa miongoni mwa miradi michache nchini iliyokamilika kabla ya muda uliopangwa.
View attachment 2360906
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani kulikuwa na maneno mengi sana kuhusu daraja hili la Wami na si hili tu bali maneno yalikuwa mengi Rais Samia hataendeleza mirad hii ya kimkakati,
View attachment 2360920
Wiki mbili zilizopita tulikuwa Mwanza, tumeona ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria. Tumeona ujenzi wa meli MV. Mwanza unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria na leo niko hapa daraja la Wami nashuhudia kwa macho yangu, mikono yangu lakini ukisimama hapa ukiangalia kule mbele unaona namna gani ambavyo Pwani na Tanga inavyong'ara kupitia daraja hili,โ amesema.
View attachment 2360914
Aliongeza kuwa, fedha zote zimetoka kwa wakati na hivyo ukichukua asilimia 47 na asilimia 42.2 unapata asilimia 89.2 kati ya hizo kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya Rais Samia Suluhu Hassan huku akieleza kwamba hapo ndipo unaona namna gani ambavyo Watanzania wananufaika na kodi zao kwa sababu fedha iliyotoka kwenye daraja hilo ni ya ndani.
View attachment 2360916
"Hakuna fedha ya mjomba hakuna fedha ya msaada ni fedha ya watoka jasho wa Tanzania ndio imefanya kazi hii na mtaalamu alikuwa ananiambia katika historia ya nchi yetu na mimi nimefuatilia iko hivyo, hili litakuwa daraja la kwanza kukamilika kabla ya wakati uliokadiriwa, daraja hili lilikadiriwa litumie miaka minne lakini tutalifungua kabla ya Novemba ambao tungetegemea kwamba ndio mwezi wa mwisho,โ amesema.
=== ===