Kiongozi hiyo sentensi ya mwisho itakufanya utukanwe na jamaa fulani humu, ohoooo! Wana hasiraaaaa!Hata Mimi nilimbeza aise, mnisamehe
Ila Mama ni zaidi ya Magufuli tukimwogopa Mungu
Una upungufu wa akili kichwani.Hata Mimi nilimbeza aise, mnisamehe
Ila Mama ni zaidi ya Magufuli tukimwogopa Mungu
Huyu mama Samia ni mchapakazi hakuna mfano, halafu haongei ongei na kubwatuka, watu wanaona nchi inajengwa tuuSHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.
Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita
Na Mwandishi Wetu,Pwani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho kinaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati inavyoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2360896
Amesema hata baadhi ya watu waliokuwa wakibeza na kutoa kauli za kejeli kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo sasa wameumbuka.
View attachment 2360899
View attachment 2361126
Shaka ameyasema hayo leo Septemba 18, 2022 baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja jipya la Wami ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 89.02 na zaidi ya Sh. bilioni 75 zimepangwa kutumika.
View attachment 2360901
Aidha amesema jambo la kufurahisha ni kwamba ujenzi wa daraja hilo unakwenda kuandika historia ya kuwa miongoni mwa miradi michache nchini iliyokamilika kabla ya muda uliopangwa.
View attachment 2360906
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani kulikuwa na maneno mengi sana kuhusu daraja hili la Wami na si hili tu bali maneno yalikuwa mengi Rais Samia hataendeleza mirad hii ya kimkakati,
View attachment 2360920
Wiki mbili zilizopita tulikuwa Mwanza, tumeona ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria. Tumeona ujenzi wa meli MV. Mwanza unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria na leo niko hapa daraja la Wami nashuhudia kwa macho yangu, mikono yangu lakini ukisimama hapa ukiangalia kule mbele unaona namna gani ambavyo Pwani na Tanga inavyong'ara kupitia daraja hili,” amesema.
View attachment 2360914
Aliongeza kuwa, fedha zote zimetoka kwa wakati na hivyo ukichukua asilimia 47 na asilimia 42.2 unapata asilimia 89.2 kati ya hizo kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya Rais Samia Suluhu Hassan huku akieleza kwamba hapo ndipo unaona namna gani ambavyo Watanzania wananufaika na kodi zao kwa sababu fedha iliyotoka kwenye daraja hilo ni ya ndani.
View attachment 2360916
"Hakuna fedha ya mjomba hakuna fedha ya msaada ni fedha ya watoka jasho wa Tanzania ndio imefanya kazi hii na mtaalamu alikuwa ananiambia katika historia ya nchi yetu na mimi nimefuatilia iko hivyo, hili litakuwa daraja la kwanza kukamilika kabla ya wakati uliokadiriwa, daraja hili lilikadiriwa litumie miaka minne lakini tutalifungua kabla ya Novemba ambao tungetegemea kwamba ndio mwezi wa mwisho,” amesema.
=== ===
Ameeleza ya moyoni tu, Uongo uko wapi?Una upungufu wa akili kichwani.
Mkuu unaemsema kwa miaka minne kajenga asilimia 47 na unaemuona hawezi 42% Kwa mwaka mmoja na nusu ,sijui hapo nani ni boraMagufuli angekuwepo hii miradi ingekuwa imekamilika kitambo hadi tungekuwa tumesahau.kwa kuwa hii ni awamu ya wazembe na maneno mengi ndiyo matokeo yake miradi imechelewa kukamilika.miradi kama ya umeme wa mwl nyerere tungekuwa tunafaidi matunda yake,sgr morogoro tungekuwa tunafaidi na mradi wa mwendokasi morocco-mwenge ambao umekufa baada ya mwamba kufariki tungekuwa tunaseleleka tu mwanzo mwisho.Tuivumilie tu hii awamu ya wazembe
Kwanza apongezwe mtoa maono,stupidSHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.
Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita
Na Mwandishi Wetu,Pwani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho kinaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati inavyoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2360896
Amesema hata baadhi ya watu waliokuwa wakibeza na kutoa kauli za kejeli kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo sasa wameumbuka.
View attachment 2360899
View attachment 2361126
Shaka ameyasema hayo leo Septemba 18, 2022 baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja jipya la Wami ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 89.02 na zaidi ya Sh. bilioni 75 zimepangwa kutumika.
View attachment 2360901
Aidha amesema jambo la kufurahisha ni kwamba ujenzi wa daraja hilo unakwenda kuandika historia ya kuwa miongoni mwa miradi michache nchini iliyokamilika kabla ya muda uliopangwa.
View attachment 2360906
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani kulikuwa na maneno mengi sana kuhusu daraja hili la Wami na si hili tu bali maneno yalikuwa mengi Rais Samia hataendeleza mirad hii ya kimkakati,
View attachment 2360920
Wiki mbili zilizopita tulikuwa Mwanza, tumeona ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria. Tumeona ujenzi wa meli MV. Mwanza unavyokwenda kwa kasi kuliko tunavyofikiria na leo niko hapa daraja la Wami nashuhudia kwa macho yangu, mikono yangu lakini ukisimama hapa ukiangalia kule mbele unaona namna gani ambavyo Pwani na Tanga inavyong'ara kupitia daraja hili,” amesema.
View attachment 2360914
Aliongeza kuwa, fedha zote zimetoka kwa wakati na hivyo ukichukua asilimia 47 na asilimia 42.2 unapata asilimia 89.2 kati ya hizo kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya Rais Samia Suluhu Hassan huku akieleza kwamba hapo ndipo unaona namna gani ambavyo Watanzania wananufaika na kodi zao kwa sababu fedha iliyotoka kwenye daraja hilo ni ya ndani.
View attachment 2360916
"Hakuna fedha ya mjomba hakuna fedha ya msaada ni fedha ya watoka jasho wa Tanzania ndio imefanya kazi hii na mtaalamu alikuwa ananiambia katika historia ya nchi yetu na mimi nimefuatilia iko hivyo, hili litakuwa daraja la kwanza kukamilika kabla ya wakati uliokadiriwa, daraja hili lilikadiriwa litumie miaka minne lakini tutalifungua kabla ya Novemba ambao tungetegemea kwamba ndio mwezi wa mwisho,” amesema.
=== ===
😀😀😀
Rais Samia anafanya vizuri Sana hata kama hutaki huo ndio ukweli wenyeweSHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.

Wewe ni chama gani?Ila ccm wanawachezea sana watz
[emoji23][emoji23][emoji23]
SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.

Hakika ni Kweli,Tunapaswa kupongeza usimamizi mzuri wa kodi zetu!! Ok.
Mama ni habari mpya,Soma vibao hivi hapa Chini,anachapa barabara za lami Rukwa na iko hivyo mikoa yote 👇
Tuendelee kumwombeaMama ni habari mpya,
Maoni yapi? Miradi yote kuanzia Mwendo Kasi, Flyovers, upanuzi wa airport,miradi ya maji from ziwa Victoria n.k ilikuwepo kwenye mpango wa Taifa, framework za DMDP n.k so sio kwamba inaanzishwa na JPM Ila hizo blueprint zipo toka enzi za Mkapa na hata Samia naye anafanya kazi blue print alizozikuta na zitaendelea hata Rais angekua Lissu.Usimpuuze alieona hayo maono akaanzisha,yeye amalizie yalioanzishwa