Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

Kazi ya mama inatia moyo Sana,
 
Shaka ni jembe sana Aise,
 
Sgr na stiglers ni blue print
 
SHAKA Ni RAIS AJAE TUPENDE TUKATAE
 
Sifa za kijinga tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umesema kweli tupu hawana aibu hawa mapimbi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ccm wanafanya kampeni wakati vyama vingine vinazuiliwa?
Huu ni ushetani kusema kweli!
 
Huwezi kujua kuwa Rais SSS anajenga miundombinu kwa vile yeye siyo mtu wa mapicha picha kama alivyokuwa Magufuli. Utajuwa tu kuwa anafanya kazi ukipita maeneo husika. Kwa sasa Dar es Salaam kwa mfano kuna Flyovers za Magomeni Lango La Jiji, Keko Makutano ya Nyerere na Kawawa, Kurasin pale karibu na PUMA na Chuo cha Uhasibu ziko kwenye 80% to completion na zingine zinatumika upande mmoja. Wanaojua ni raia wanaopita huko, lakini kama wewe ni mtu wa Mabwepande hadi Ubungo huwezi kujua. Ila angekuwa mwendazake angekuwa tayari kapita mara tatu, kazipa majina ya rafiki zake halafu katukana na mitusi kibao. Huyo ndiyo watu wanamkumbuka eti, uwongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…