CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We proud on you Shaka,Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama...
CCM imepata viongozi mahiri sana, tunajivunia sana kama Taifa,Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta haya tunayoyaona leo Mahakama za Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
KAZIIENDELEEKatibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta haya tunayoyaona leo Mahakama za Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
KiongoziKatibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta haya tunayoyaona leo Mahakama za Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
KhaaSasa mbona mmeingia kihoro Hadi hamtaki tena wanaokuja kwenye kesi hiyo, waingie na simu zao?
Hiyo ndiyo unaiita demokrasia inayodumishwa na CCM?
Khaaa😁😁
Ukitaka kujua 'si hasa' ndio hiyo...bumunda limeloa maji
Sana,umesema kweli tupu.CCM imepata viongozi mahiri sana, tunajivunia sana kama Taifa,
Najivunia kuwa na viongozi,wenye uono na hekima,kama huyu.We proud on you Shaka,
Hongera sana.Hongera sana Mhe Shaka
Shaka ni mtu na nusuNajivunia kuwa na viongozi,wenye uono na hekima,kama huyu.
Ndio ukweliSana,umesema kweli tupu.
Kazi iendeleeKatibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta haya tunayoyaona leo Mahakama za Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Hata mimiNajivunia kuwa na viongozi,wenye uono na hekima,kama huyu.
Uko sahihi 100%Najivunia kuwa na viongozi,wenye uono na hekima,kama huyu.
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA TzKatibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama