Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

Aliye danganya mishahara atawajibika.
 
SAsa shaka kwa bei hizi za vitu juu huo upinzani mtausambaritishaje hali mama hauziki.
Vitu vikiwa juu hata kipato Kiko juu,kwani kama wewe unalima ukauza Bei juu kuna shida?

Kipindi kile Bei zilikuwa za Kati lakini Mazao Bei chini πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-115541.png
    150.9 KB · Views: 5
Hakushinda lakini walimpora sugu
Kura zilipigwa na wanajeshi hapo uhasibu DSM (Twalipo camp) ndio zikaenda kuwekwa kwenye mbao za kupigia kura Mbeya.

Ushahidi upo
 
Ccm mbon inahangaika na upinzan wakti wanainchi wanalilia Maisha magumu??
Kwan Mbeya huko Mafuta bei gani???CCM is now outdated political party
 
Watoe uhuru kwa wananchi waamue. Kuitumia Dola kuilinda CCM na kutamba ni wenda wazimu.
 
Mpaka sasa sijaelewa ni upinzani wa aina Gani shaka anapambana kuumalizia wakati mbeya upinzani hauna kiti cha udiwani wala ubunge
Viti vyote wamepora, lakini falsafa ya upinzani inawakosesha usingizi.
 
Sugu naona kwisha habari yake pale Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…