Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vikiwa juu hata kipato Kiko juu,kwani kama wewe unalima ukauza Bei juu kuna shida?SAsa shaka kwa bei hizi za vitu juu huo upinzani mtausambaritishaje hali mama hauziki.
100%✔️Shaka ni Mtu na nusu
Kura zilipigwa na wanajeshi hapo uhasibu DSM (Twalipo camp) ndio zikaenda kuwekwa kwenye mbao za kupigia kura Mbeya.Hakushinda lakini walimpora sugu
Watoe uhuru kwa wananchi waamue. Kuitumia Dola kuilinda CCM na kutamba ni wenda wazimu.View attachment 2309350
View attachment 2309352SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa vilivyopo. Hivyo kwa kazi kubwa na nzuri ya maendeleo inayofanywa mkoani Mbeya na serikali ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan upinzani utafutika katika mkoa huo.
Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza katika mkutano wa ndani wa viongozi na wanachama wa chama hicho Jijini Mbeya.
"Kwa kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Jemedari Samia Suluhu Hassan siuoni upinzani kuelekea 2024/2025. CCM tunaitekeleza Demokrasia ya kweli kwa vitendo kwa kuhakikisha maendeleo na ustawi wa wananchi yanapatikana. Niwatake wananchi kuendelea kuiamini CCM na serikali yake." Amesema Shaka
Shaka pia amemmwagia sifa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omari Kinana na kusema amekuwa chaguo sahihi kwa nafasi hiyo hivyo kwa niaba ya wanaCCM kote nchini wanamshukuru Mwenyekiti wa chama hicho Ndg Samia Suluhu Hassan kwa kumpendekeza na kuchaguliwa kwa asilimia mia moja na mkutano mkuu wa Taifa.
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia ndani ya TANU na CCM. Ni mwana majumui (panafricanist). Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana, huyu ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu." Alieleza Shaka
Shaka yupo ziarani mkoani Mbeya alipokuwa ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambapo wamehitimisha leo.
Viti vyote wamepora, lakini falsafa ya upinzani inawakosesha usingizi.Mpaka sasa sijaelewa ni upinzani wa aina Gani shaka anapambana kuumalizia wakati mbeya upinzani hauna kiti cha udiwani wala ubunge
Uhuru gani haujatolewa?Watoe uhuru kwa wananchi waamue. Kuitumia Dola kuilinda CCM na kutamba ni wenda wazimu.
😂😂😂Viti vyote wamepora, lakini falsafa ya upinzani inawakosesha usingizi.
Darasa la tatu CMshaurini Sugu atoe single ila siasa ni Tulia tu
✔️Mshaurini Sugu atoe single ila siasa ni Tulia tu
Heshima yako mkuu wanguVitu vikiwa juu hata kipato Kiko juu,kwani kama wewe unalima ukauza Bei juu kuna shida?
Kipindi kile Bei zilikuwa za Kati lakini Mazao Bei chini 👇
Very TrueDkt Tulia alishaizika rasmi Chadema Mbeyu ,Huyo Mr 2 aendelee kurecord ngoma mpya 😂😂😂