Shaka Hamdu Shaka atuma neno kwa Freeman Mbowe amsifu Rais Samia

CHADEMA ni kunguru hafugiki, Hongera Sana Rais Samia,

Wewe ni zaidi ya Rais, Wewe ni mtumishi wa Mungu,
Mnataka muendeleze uonezi halafu watu watulie tu??.

Cha moto mtakiona, ngoja tuuwashe moto.
 
Hivi hawa watu walitaka Mbowe aendelee kukaa jela? Ametolewa kelele, akikaa ndani kelele...Hivi watu wapo sawa sawa kweli. Mbowe mwenyewe ameridhia kukutana na Rais, sasa hao wanaoongea ongea ovyo wanataka nini?
Ameridhia kukutana akiwa jela fine.

Mbona kabla yakukamatwa Hangaya hakuridhia harakaharaka kama sasa.
 
Hivi hawa watu walitaka Mbowe aendelee kukaa jela? Ametolewa kelele, akikaa ndani kelele...Hivi watu wapo sawa sawa kweli. Mbowe mwenyewe ameridhia kukutana na Rais, sasa hao wanaoongea ongea ovyo wanataka nini?
 
Wakati mwingine si lazima kila kitu uongee...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli mnaheshimu haki za binadam, kwa nini mnamtoa gaidi tu wakati wapo wengi tu wana kesi za ovyo.

Watoeni na hao basi au mkubali tu kuwa

Kesi ya Mwamba ilikuwa inaenda kuwavua nguo MACCM

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli mnaheshimu haki za binadam, kwa nini mnamtoa gaidi tu wakati wapo wengi tu wana kesi za ovyo. Watoeni na hao basi au mkubali tu kuwa

Kesi ya Mwamba ilikuwa inaenda kuwavua nguo MACCM

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya kuambiwa unakesi ya kujibu?
 
Kwa hiyo yeye ndiye aliyeratibu maongezi ya Rais na Mwenyekiti FAM jana au basi ndio walewale wanaona wawahi siti ya mbele kabisa kabla hajaongea mhusika akatema madini yote.
Shaka njaa nyingi ridhika ulipo.
Unaifahamu vizuri nafasi Ya Shaka,
 
Kazi inafanyika
 
Duniani bila unafiki maisha hayaendi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…