Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
......

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.

Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitokea vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kadi kwa niaba ya wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba,

#Chama Imara
#KazIendelee

Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba...,
Umaskini sio ufahari.alafu unadanganya wenzako waendelee kua maskini uku wengine wakineemeka na familia zao.Watanzania wengi wanaelimika kwahiyo wanajua nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi ni swala la muda tu uko ccm mtatafutana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kamanda WA Polisi Mkoa katoa kibali?
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba...
Na vyama vya vingine vinaruhusiwa kufanya hivyooo?
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Tumechoka na CCM miaka 60 Nyumba za NYASI Nchi ina RASLIMALI KILA MKOA
tatizo la NCHI ni UWEZO Mdogo wa Viongozi kuongoza na SIASA CHAFU za KUBAMBIKIZIA KESI WAPINZANI
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Yani umasikini wako ndiyo deal la ccm🀣🀣
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto..

Mbowe yupo mahabusu anakaribia mwaka Sasa, hivyo mtoe kwenye hiyo list yako.
 
Duuh yaani wanatambulisha wachezaji wao wa kikosi B na C alafu wanajipongeza kwa usajili mpya!!

Zitto na ACT yake! Lipumba na CUF yake; si wafuasi watiifu na waunga juhudi kindaki ndaki hao??

NB: Hayo ni maoni nimepewa na bibi na mjukuu wake wa Kongwa!
 
Huko Pemba ndo Waziri Masauni alimng'oa RPC kisa ACT walipewa kibali cha vikao vya ndani?
 
Wao wafanye siasa na kutafuta wanachama ni poa, ila wapinzani wasubiri uchaguzi.
Mungu tunae mwabudu haja lala wala kusinzia.
Ccm mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana.
 
Wao wafanye siasa na kutafuta wanachama ni poa, ila wapinzani wasubiri uchaguzi.
Mungu tunae mwabudu haja lala wala kusinzia.
Ccm mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana.
Mmefanya wapi mikutano ya hadhara mkanyimwa?
 
ACT na CCM si ni chama moja acheni kuzuga.
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…