Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
......

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.

Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitokea vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kadi kwa niaba ya wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba,

#Chama Imara
#KazIendelee

View attachment 2095594

View attachment 2095595

View attachment 2095596

View attachment 2095597
Safi Shaka,
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Unaakili sana,
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Wamechoshwa na CCM miaka 60 Maji kichwani
 
Back
Top Bottom