CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
😀😀😀😀Subiri mfike mbinguni mkiwa mmechoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Subiri mfike mbinguni mkiwa mmechoka.
Duuh!! Hivi ni macho yangu au? TZ ya karne ya 21 yenye uchumi wa kati bado kuna nyumba za aina hii? Hatareeeee!Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597
Mmefanya wapi mikutano ya hadhara mkanyimwa?
Full Uchochezi
Viongozi Bawacha kizimbani
FRIDAY JANUARY 21 2022
View attachment 2096142
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga
Summary
- Viongozi watatu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.
ADVERTISEMENT
View attachment 2096143
By Joseph Lyimo
More by this Author
Babati. Viongozi watatu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.
Kamanda wa Polisi wa mkoa, Kamishna Msaidizi Benjamin Kuzaga amesema watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Hanang’.
Kamanda Kuzaga amewataja waliofikishwa mahakamani ni Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Manyara, Regula Mtei (45), mhasibu wa Bawacha, Valentina Shayo (37) na mjumbe wa kamati tendaji ya Bawacha Mkoa wa Manyara, Tarsila Karama (38).
Amesema watatu hao wanatuhumiwa kufanya mkutano wa hadhara Januari 17 kwenye kituo cha mabasi cha mji mdogo wa Katesh wilayani Hanang’ walikokamatwa na polisi.
Kamanda huyo ametoa wito kwa vyama vya siasa kufuata utaratibu, kanuni na sheria zinazowaongoza kufanya mikutano ya hadhara.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Habari kuu
Ofisa anayedaiwa kujinyonga mahabusu azikwa
View attachment 2096144
Wakati mkaguzi msaidizi wa polisi, Grayson Gaitan Mahembe akidaiwa kujinyonga akiwa mahabusu, amezikwa mkoani Iringa jana, huku wazazi wake...
Kashfa mpya Polisi, maofisa 7 mbaroni
View attachment 2096145
Maofisa saba wa Jeshi la Polisi, wanashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumpora mfanyabiashara mmoja wa madini Sh70 milioni na...
Makamba avunja idara ya habari Tanesco
Serikali kujenga soko jipya Jangwani
Familia za waliopotea kiutata zaona ‘kiza tu’
Wawili wakamatwa tuhuma za mauaji ya mwanamke gesti
Ni mnyukano wa mawakili, shahidi kesi ya kina Mbowe
Kwa CCM tu eti kwakuawni chama kinachoongoza dola iliyopo madarakani.Mikutano ya nje ya vyama vya siasa imeruhusiwa?
DaahKwa CCM tu eti kwakuawni chama kinachoongoza dola iliyopo madarakani.
Nadhani Bunda,Huyu Shaka Ni msukuma wa Sengerema au Bunda?
AmeenWatanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,
Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,
Wote hawa ni ntu za dili tu,
Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Deceiver uwe na hofu kwa Mungu wakoHuyu Shaka Ni msukuma wa Sengerema au Bunda?
Huyu bwana ni mtu na nusu, Kazi nzuri ShakaKatibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597
Nani alisifiwa Kama mwendazake?Huyu bwana ni mtu na nusu, Kazi nzuri Shaka
Shaka ni tofauti sana na huyo mkuuNani alisifiwa Kama mwendazake?
Sasa hivi hatakusikia jina lake hamtaki
Weldone ShakaKatibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597
ACT na CCM si ni chama moja acheni kuzuga.
Namkubali sana ShakaKatibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597
Kukimbizana na aliyefungwa pingu si ufahari - nchi hii imejaa binadamu wachache sanaMmefanya wapi mikutano ya hadhara mkanyimwa?
Kazi iendelee bwana ShakaKatibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597
chapa kazi ShakaKatibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba.
Takribani Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakitoka vyama hivyo ambapo 45 walikabidhiwa kwa niaba wenzao katika shuhuli ya ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Chimba
#Chama Imara
#KazIndelea
View attachment 2095594
View attachment 2095595
View attachment 2095596
View attachment 2095597