Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

Duuh!! Hivi ni macho yangu au? TZ ya karne ya 21 yenye uchumi wa kati bado kuna nyumba za aina hii? Hatareeeee!
 
Pemba kuna umasikini wa kutupwa nyumba Kama hizo wanaishi Bado

Mama anzisha operation huko kwenu kwanza ya ONDOA NYUMBA ZA TEMBE

Sisi tunajitawala wenyewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mmefanya wapi mikutano ya hadhara mkanyimwa?

  1. Mwananchi
  2. Habari Zaidi
  3. Kitaifa

Viongozi Bawacha kizimbani​



FRIDAY JANUARY 21 2022​


Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga

Summary

  • Viongozi watatu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.

ADVERTISEMENT


By Joseph Lyimo
More by this Author

Babati. Viongozi watatu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.

Kamanda wa Polisi wa mkoa, Kamishna Msaidizi Benjamin Kuzaga amesema watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Hanang’.

Kamanda Kuzaga amewataja waliofikishwa mahakamani ni Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Manyara, Regula Mtei (45), mhasibu wa Bawacha, Valentina Shayo (37) na mjumbe wa kamati tendaji ya Bawacha Mkoa wa Manyara, Tarsila Karama (38).

Amesema watatu hao wanatuhumiwa kufanya mkutano wa hadhara Januari 17 kwenye kituo cha mabasi cha mji mdogo wa Katesh wilayani Hanang’ walikokamatwa na polisi.

Kamanda huyo ametoa wito kwa vyama vya siasa kufuata utaratibu, kanuni na sheria zinazowaongoza kufanya mikutano ya hadhara.



ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

Habari kuu​

Ofisa anayedaiwa kujinyonga mahabusu azikwa


Wakati mkaguzi msaidizi wa polisi, Grayson Gaitan Mahembe akidaiwa kujinyonga akiwa mahabusu, amezikwa mkoani Iringa jana, huku wazazi wake...

Kashfa mpya Polisi, maofisa 7 mbaroni


Maofisa saba wa Jeshi la Polisi, wanashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumpora mfanyabiashara mmoja wa madini Sh70 milioni na...

Makamba avunja idara ya habari Tanesco

Serikali kujenga soko jipya Jangwani

Familia za waliopotea kiutata zaona β€˜kiza tu’

Wawili wakamatwa tuhuma za mauaji ya mwanamke gesti

Ni mnyukano wa mawakili, shahidi kesi ya kina Mbowe

 
Full Uchochezi
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Ameen
 
Huyu bwana ni mtu na nusu, Kazi nzuri Shaka
 
Weldone Shaka
 
ACT na CCM si ni chama moja acheni kuzuga.
Namkubali sana Shaka
 
Kazi iendelee bwana Shaka
 
chapa kazi Shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…