Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Kama mnajiamini kwa dhati haswaa huku Zanzibar weka uchaguzi huru na wa haki ...kura moja mtu mmoja kila anaestahili apewe stahili yake ...usichakachue matokeo tuone kama CCM haitofunga virago mchana kweupe!!
 
Unaongea kama wale makamanda uchwara wa ufipa.
 
Kama mnajiamini kwa dhati haswaa huku Zanzibar weka uchaguzi huru na wa haki ...kura moja mtu mmoja kila anaestahili apewe stahili yake ...usichakachue matokeo tuone kama CCM haitofunga virago mchana kweupe!!
Walifanya Hilo kosa kipindi Cha Shein. Mbona walirudia uchaguzi....
Huu wa 2020 walishajua joto ya jiwe.
Mapolisi Kama yote....
Nashindwa kuelewa. Kwa Nini Zanzibar wanafanya chaguzi wakati wanajua wataiba kura?? Wanamfurahisha kipofu Nani asiyeona Wala kusikia?
 
Sisi Wazanzibari safari yetu ni ndefu na tulikotoka ni mbali ...hatutegemei Act pekee kuendelea na safari yetu!!
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Hatari na nusu,
 
Kaza kaza Mkuu, Piga kazi
 
Piga kazi
 
Watanzania walishachoshwa na janja janja ya Upinzani wa Tanzania,

Hebu Mwangalie Lipumba,
Hebu Mwangalie Zitto
Hebu Mwangalie Mbowe,

Wote hawa ni ntu za dili tu,

Njooni CCM chama halisi cha Watoto wa masikini,
Ni kweli ni chama cha watoto masikini na viongozi matajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…