Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HHapa Raisi Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana,ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli,Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Wakati anachukua rushwa ulisemaje.kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.
sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!
viongozi kemeeni tabia hizi
Wa zenji kujaza nafasiUsiwe na hofu mkuu CCM ipo imara na kinachofanyika ni kufuta nyayo tu njia ipo pale pale au huwaamini Wazenj?
Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi.Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa...
Sio kweli Mbona Lowassa alisafishika week moja, na mafuriko ya watu alipata vizuri tuuuTanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais. Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi...
Kwahiyo watu wasifanye kazi kisa tuhuma?ebu acheni kelele , mtu anaweza kukutuhuma lakini kama ajathibitisha hizo tuhuma unakuwaje na hatia? wewe tuhumu upendavyo kama hujathibitisha hizo tuhuma hizo zinakuwa ni keleleNaamini kuwa Raisi Samia hana mshauri madhubuti au analishwa maboga mwitu nae anavamia,Shaka ? Hivi CCM kumekosa watu ? naona Samia anawachiwa mzigo taratibu.Nilishasema Nchi awaachie wenyewe .
Mambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.