ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kinachowatesa ni wivuMambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachowatesa ni wivuMambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.
Uyo aliemsimamisha Shaka kwa tuhuma za rushwa yeye ana usafi gani??! yeye mwenyewe alikuwa jizi tu la Mali za umma,,Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi......
Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.....
Alisimamishwa kupisha uchunguzi, mpaka unamuona kapewa cheo kingine maana yake hana hatia, mbona ata Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu kisa kashfa za ufisadi lakini mwisho wa siku ndani ya week moja akawa mgombea pendwa ndani ya chadema na mafuriko ya watu ya kutoshaNimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Hata Mimi nilishangaa sana labda kwa Shigela kidogo uwezo anao ktk hii nafasi ninaamini ndani wako wengi wenye uwezo ktk hii nafasiHapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Cheki huyuUyo aliemsimamisha Shaka kwa tuhuma za rushwa yeye ana usafi gani??! yeye mwenyewe alikuwa jizi tu ya Mali za umma,,
Wasukuma msimpangie mama lakufanya, mlitaka makonda ndio apewe iyo nafasi au, k.e.nge nyinyi
Una muuliza nani wakati faragha ya mtu ni jambo la KikatibaNimeuliza swali wewe unasema namchafua. Kwani na wewe ulishasikia hizi tuhuma za ushoga?
Hahahahaaaaa!!!!.......sawa mkuu....Sio kweli Mbona Lowassa alisafishika week moja, na mafuriko ya watu alipata vizuri tuuu
Tatizo la Shaka ni nini?Naamini kuwa Raisi Samia hana mshauri madhubuti au analishwa maboga mwitu nae anavamia,Shaka ? Hivi CCM kumekosa watu ? naona Samia anawachiwa mzigo taratibu.Nilishasema Nchi awaachie wenyewe .
Kwa ujumla hii nafasi kwake hapana kwani chama kina watu wenye uwezo labda tatizo makundi.Kinachowatesa ni wivu
Inawezekana kujadiliana pasi na kutumia lugha chafu....na hivyo watu wastaarabu wanavyoendesha mijadala yao.......Uyo aliemsimamisha Shaka kwa tuhuma za rushwa yeye ana usafi gani??! yeye mwenyewe alikuwa jizi tu ya Mali za umma,,
Wasukuma msimpangie mama lakufanya, mlitaka makonda ndio apewe iyo nafasi au, k.e.nge nyinyi
Tatizo la Shaka ni nini?Hata Mimi nilishangaa sana labda kwa Shigela kidogo uwezo anao ktk hii nafasi ninaamini ndani wako wengi wenye uwezo ktk hii nafasi
Uwezo gani unaosema wewe ambao Shaka hana?Kwa ujumla hii nafasi kwake hapana kwani chama kina watu wenye uwezo labda tatizo makundi.
Lakuni acha tumwangalie uwezo wake
Kwa wana ccm hapo wamebugi sana ila kwa upande wa upinzani ndiyo sherehe maana adui muombee majangaHapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Shaka hama sifa ya kuongoza hiyo idara kwani mwenyewe anashindwa kujisimamiaHutaki chama kife?
Mwacheni afanye kazi yake vizuri us kuua chama
Majungu ndani ya ccm ndiyo nyumbani kwakeMajungu network
Rushwa na ccm ni kambale na majiNimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Majungu ni moja ya vipau mbele vya ccm hivyo huna haja ya kushangaa sanakama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.
sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!
viongozi kemeeni tabia hizi
Ccm ni kichaka cha maovuCCM ilishakufa zamani siku hizi inabebwa na dola tu, huyo Shaka ni kielelezo cha taswira ya viongozi wa CCM kwa sasa, wote hawafai, ukisema huku kuna kina Makonda na Sabaya waondolewe utageukia kwa kina Shaka wenye kutuhumiwa na bado wanapewa majukumu.
Hana tofauti na sigara kaliHuyo Jamaa nasikia ni "BOFLO".