Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Usiwe na hofu mkuu CCM ipo imara na kinachofanyika ni kufuta nyayo tu njia ipo pale pale au huwaamini Wazenj?
Kwa uteuzi huu wa mtu aliyekataliwa na jiwe kwa tuhuma za rushwa .

Huu ni ushahidi kwamba mama hayupo pamoja na mawazo ya jiwe.
 
Acheni majungu.
Mnasema hafai lkn hamsemi Ni kwa Nini.
Mnasema Mara boflo Mara mlarushwa, aliyemtuhumu kwa rushwa nae Ni mtu Safi? Rushwa kapewa na Nani na kwa Nini?
Kama anatabia zingine msizo taka, je zinamzuia kueneza Sera zetu. SI anaongea na mdomo au anaongea na kitu kingine.
 
Mambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.
Hahahahaaa,sio kila tuhuma ni lazima udhibitishwe mahakamani,zipo tuhuma zinakukisesha tu sifa ya kuteuliwa
 
Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi......

Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.....
Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.

Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje hakuna ajuaye. Wote tunajua alipewa zawadi ya uwaziri wa wizara inayoongoza kwa rushwa! Mifano ipo mingi sana. Ni kama mojawapo ya sera za chama.
 
Mtdkuqa mmetumwa na MAKONDA, maana alienda Dodoma bila mwaliko.
 
Unataka nchi ya mazoba kila kitu hewala?
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hizi
 
Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.

Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje hakuna ajuaye. Wote tunajua alipewa zawadi ya uwaziri wa wizara inayoongoza kwa rushwa! Mifano ipo mingi sana. Ni kama mojawapo ya sera za chama.
RUSHWA SIO JAMBO GENI KWENYE SERIKALI YA CCM.....LAKINI TUNALAZIMIKA KUIKEMEA KWA KUWA WAO NDIO WALIOPO MADARAKANI....
 
Hayo ni mambo ya kichama hayahusihani na Urais
Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi......

Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.....
 
Ndio mnachokijua ni matusi tu, Mama atawanyoosha maji mtaita mma soon,
Jifunze kufikiri kwa usahihi,unatupa picha hasi kuhusu malezi yako,hebu jaribu kusoma michango yako taratibu,utaona tofauti na ya Wenzio,jf ni kama chuo,watu wanajifunza,lkn kuna wanafunzi wengine ni wapumbavu wanaondoa ile dhana halisi ya kujifunza,michango yako ni wewe na wasukuma,au wewe na jpm,hata km hoja hailengi hapo,wewe unalazimisha mambo ya hovyo hovyo,dili na uwezo wa mtu,usidili na kabira lake,
 
wewe Kama nani hadi unipangie cha kusema au cha kuandika, mnalipwa ili mumchafue Rais mitandaoni kisa tu sio wa upande wenu,
 
Kwa hiyo haujiisikiza clip aki- discuss kurudisha rushwa kwa diwani? Ipo hapa Jf, kwenye uzi mwingine. Si kila kitu tufanye masihara, utoto, ujinga kama huu unaoufanya hapa.
Mkuu,huyu task force ana shida ya afya ya akili,dishi limecheza,fuatilia michango yake utaiona,
 
Acheni majungu.
Mnasema hafai lkn hamsemi Ni kwa Nini.
Mnasema Mara boflo Mara mlarushwa, aliyemtuhumu kwa rushwa nae Ni mtu Safi? Rushwa kapewa na Nani na kwa Nini?
Kama anatabia zingine msizo taka, je zinamzuia kueneza Sera zetu. SI anaongea na mdomo au anaongea na kitu kingine.
Twambie sababu iliyo mfanya akimbie usiku usiku kutoka mombasa!
 
Kwa hiyo haujiisikiza clip aki- discuss kurudisha rushwa kwa diwani? Ipo hapa Jf, kwenye uzi mwingine. Si kila kitu tufanye masihara, utoto, ujinga kama huu unaoufanya hapa.
Eti arudishe rushwa kwa madiwani"" we kweli ujitambui, kwaiyo mlitaka iyo nafasi ya katibu mwenezi apewe nani, makonda au masanja au maziku
 
Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.

Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje hakuna ajuaye. Wote tunajua alipewa zawadi ya uwaziri wa wizara inayoongoza kwa rushwa! Mifano ipo mingi sana. Ni kama mojawapo ya sera za chama.
Hakika huwezi kuitenganisha rushwa na ccm.
 
Back
Top Bottom