Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Jifunze kufikiri kwa usahihi,unatupa picha hasi kuhusu malezi yako,hebu jaribu kusoma michango yako taratibu,utaona tofauti na ya Wenzio,jf ni kama chuo,watu wanajifunza,lkn kuna wanafunzi wengine ni wapumbavu wanaondoa ile dhana halisi ya kujifunza,michango yako ni wewe na wasukuma,au wewe na jpm,hata km hoja hailengi hapo,wewe unalazimisha mambo ya hovyo hovyo,dili na uwezo wa mtu,usidili na kabira lake,
Sukuam gang kazini
 
Kwakua wengine yamkin hagujui majukum ya hiyo nafasi kikatiba nadhan tungeanzia hapo kufahamishwa ni nin hasa jamaa anatakiwa kutekeleza akiea hapo kisha tuangalie experience yake ndio tujue sasa kama anatosha au hatoshi.Haya mambo mengine itakua ni kupiga kelele tu bila msingi.
 
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hizi
Majungu yapi wakati Mwendazake alimtangaza waziwazi kuwa amemsimisha kwa sababu amekula rushwa? Majungu gani wakati amedukuliwa akizungumzia milioni kadhaa alizopokea? Ingekuwa vyema kama mamlaka husika ingemuosha kabla ya kumteua. Wangetuambia kuwa alikuwa anawatega wengine na aliyosikia Mwendazake yalikuwa majungu. Tofauti na hivyo watu tutaendelea kuamini kuwa ni mla rushwa mpaka tutqkapoambiwa tofauti.

Amandla...
 
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.

Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.

Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Ulitaka ateuliwe nani?? Toa jina moja tu mkuu
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Weka ushahidi
 
Naamini kuwa Raisi Samia hana mshauri madhubuti au analishwa maboga mwitu nae anavamia,Shaka ? Hivi CCM kumekosa watu ? naona Samia anawachiwa mzigo taratibu.Nilishasema Nchi awaachie wenyewe .
Ambao ni wasukumu??
 
Back
Top Bottom