Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Wacheni. Akifeli atatolewa ulitaka uendelee n polepole maviete?
 
Tatizo la Shaka ni nini?
Mku uwenezi ni sio ngonjera kumbuka alikopitia na historia ndiyo inampa mtu udhabiti wa kusimamia watu .Hizi sio zama za mihemko bali ni zama za hoja ambazo zitakijenga chama.
Labda uniambie ameteuliwa kwa ajili ya kuja kuyaumiza makundi yaluyopo ambayo hana uwezo wa kuyakomesha hayo makundi zaidi watakiumiza chama na wanachama wanaojua siasa ambao watakaa pembeni na kuangalia mtifuano wa makundi
 
Kwahiyo watu wasifanye kazi kisa tuhuma?ebu acheni kelele , mtu anaweza kukutuhuma lakini kama ajathibitisha hizo tuhuma unakuwaje na hatia? wewe tuhumu upendavyo kama hujathibitisha hizo tuhuma hizo zinakuwa ni kelele
Na kama ni kutumia tuhuma kama kigezo, hakuna mtu ndani ya CCM anafaa kuwa Kiongozi. Wote wana tuhuma.
 
Majungu yapi wakati Mwendazake alimtangaza waziwazi kuwa amemsimisha kwa sababu amekula rushwa? Majungu gani wakati amedukuliwa akizungumzia milioni kadhaa alizopokea? Ingekuwa vyema kama mamlaka husika ingemuosha kabla ya kumteua. Wangetuambia kuwa alikuwa anawatega wengine na aliyosikia Mwendazake yalikuwa majungu. Tofauti na hivyo watu tutaendelea kuamini kuwa ni mla rushwa mpaka tutqkapoambiwa tofauti.

Amandla...
Tuhuma zozote zile bila ushahidi/uthibitisho ni MAJUNGU na FITINA.
 
Huyu jamaa alinangwa na jiwe kwa kula mlungula!nadhani Morogoro kama sikosei.
 
Kwa hiyo shaka hayumo kwenye hao 60 million??

Naona unazunguka mbuyu. Shoga, mla rushwa ambaye yupo kwenye record hatummtaki. Mtu ambaye alisimimishwa kwa tuhuma nzito.

Unatetea ujinga na upumbavu, sisi wazalendo tunataka aanze vizuri , aendelee kuaminika na kuaminiwa na Watanzania wote. Teuzi hii haisaidii.

Nimeeleweka? Ukiwa na akili timamu utaelewa otherwise, tembea.
 
Back
Top Bottom