Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Wakemee tabia ya kula rushwa au wakemee kelele dhidi ya wala rushwa.
kama una ushahidi peleka TAKUKURU badala ya kipika majungu kwenye mtandao,

Pia fahamu kuwa TAKUKURU Haifanyii taarifa za kimajungu, muda huo hawana, majungu hayana nafasi peleka kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Wivu wa kike huo.

Si bora wivu wa kike unakuwa na maana ya kujenga au kuokoa mahusiano,msifananishe wivu wa kina mama na mambo ya AJabu AJabu.

Wivu wa kike ni lulu inayolinda ndoa,lazima uheshimiwe wivu wa kike
 
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.

Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.

Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Weka ushahid hapa wa hiyo rushwa tuone.Tuhuma tu haiwez kua rushwa bila evidence

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Shaka ni nini?
Tatizo ni lugha chafu ni kama hana adabu kwa watu wote ,adabu kwa viongozi wa ccm tuu ,anaweza jirekebisha wakajilia boflo kwa vizuri tuu,vinginevyo hana cha kutisha upinzani
 
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.

Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.

Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Ccm wote Wala rushwa, kikwete mkapa magufuli. nitajie ambaye Hali rushwa
 
Tatizo ni lugha chafu ni kama hana adabu kwa watu wote ,adabu kwa viongozi wa ccm tuu ,anaweza jirekebisha wakajilia boflo kwa vizuri tuu,vinginevyo hana cha kutisha upinzani
Lugha chafu ndio ipi? halafu wapi aliongea hiyo lugha chafu?
 
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.

Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.

Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Utawala wa kifalme!!
 
Pole...ndiyo umejua leo...
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.

Ahaaaa ahaaaa aya bhana
 
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.

Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.

Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.

Hivi Rais anayewaambia mawaziri wake wajipimie; wasile sana, wale kwa urefu wa kamba zao, anaweza kuzungukwa na watu wa aina gani?
 
uzi ni wa May 2, ila naona niweke neno hapa,
ni kweli uwenda Shaka anapwaya kwa kumpima na watangulizi wake kama Polepole na NAPE, ila tujiulize vipi upande wa pii vijana wako imara? au ndo kila upande umeamua kupwaya kabisa?

afadhali shaka ni kama bwana dogo Anaonekana Japo anaonekana kupewa zaidi nafasi kuongea maeneo yenye tija , ila anaweza fuatia Mwenye Nafasi kama yake ndani ya CHADEMA , je vipi vyama vingine kama CUF, DOVUTWA na ACT?

Britanicca
 
Back
Top Bottom