fafanua vizuri hapo ufedhuli umekusudia nini? Ili tujuwe tunamjadili Shaka kama naniHapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.