Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Vipo kuhusu sabayaHapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.