KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mama hatoshi kwenye kiti hicho kwa sababu mara nyingi maamuzi yake yanaongozwa na hisia na sio akili......Tanzania tunapitia nyakati ngumu sana kiutawala kama taifa.....Huo ndio ukweli wenyewe, mama kachemsha.
Natural justice muhimu maana watu wengi sana huwa wanaumia kwa mambo ya kuendekeza majungu.nyie teteaneni tu,lkn mke wa mfalme hata tetesi tu zinatosha kumvunjia mji.
fafanua mkuuHuyo Jamaa nasikia ni "BOFLO".
kama una ushahidi peleka TAKUKURU badala ya kipika majungu kwenye mtandao,Wakemee tabia ya kula rushwa au wakemee kelele dhidi ya wala rushwa.
Wivu wa kike huo.
fafanua mkuu
Anaeneza kitu gani?Utake usitake Shaka ndio Mwenezi na ataendelea kuwa mwenezi mpaka 2025.
ukitaka kumuweka wa kwako subiri hadi 2025
Weka ushahid hapa wa hiyo rushwa tuone.Tuhuma tu haiwez kua rushwa bila evidenceNimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Tatizo ni lugha chafu ni kama hana adabu kwa watu wote ,adabu kwa viongozi wa ccm tuu ,anaweza jirekebisha wakajilia boflo kwa vizuri tuu,vinginevyo hana cha kutisha upinzaniTatizo la Shaka ni nini?
Weka ushahid hapa wa hiyo rushwa tuone.Tuhuma tu haiwez kua rushwa bila evidence
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ccm wote Wala rushwa, kikwete mkapa magufuli. nitajie ambaye Hali rushwaNimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Lugha chafu ndio ipi? halafu wapi aliongea hiyo lugha chafu?Tatizo ni lugha chafu ni kama hana adabu kwa watu wote ,adabu kwa viongozi wa ccm tuu ,anaweza jirekebisha wakajilia boflo kwa vizuri tuu,vinginevyo hana cha kutisha upinzani
Utawala wa kifalme!!Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Pole...ndiyo umejua leo...Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Ahaaaa ahaaaa aya bhanaHapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.
Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Nimeshangazwa sana na huu uteuzi. Huyu mtu alikuwa amesimamishwa kwa ajiri ya kuchukua rushwa.
Ushahidi hupo wazi kabisa, inaonyesha dharau kubwa kwa wananchi. Kwamba rushwa ni kitu cha kawaida sana ndani ya CCM, infact message ni kwamba ukiwa mla rushwa mkubwa, utapandishwa cheo.
Mama anaanza kujiharibia mwenyewe mapema sana bila sababu za msingi.
Anatafunwa na chai au soda nimtokeeHuyo Jamaa nasikia ni "BOFLO".