Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA

IMG-20220805-WA0044.jpg

"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.

Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana,

IMG-20220804-WA0176.jpg

Mzee Kinana ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu."

Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
#ZiaraYaKinanaMbeya
===============
 
Kinana ' the Game changer ' huyu mzee Magufuli alimkimbiza Tanzania
Huyu ni Bora sana Kwa Wana (ccm)ukilinganisha na akina mr.slow na Mr.Balozi KM mstaafu waenzi ya Tano🤔
 
Shaka ameongea ukweli tupu. Kinana ni jabali kwenye siasa.
 
Eti mtiifu na mwadilifu sana. Huyu ana skendo zifuatazo ambazo hazimuweki kwenye hizo sifa labda umsifie kinafiki;
1. Inasemekana akiwa mbunge jimbo la arusha alihodhi mashine za kufulia zilizotolewa kama msaada kwa hospital ya mount meru. Baadae alifungua dry cleaner kubwa na ipo hadi sasa.

2. Peter Msigwa aliwahi kumtuhumu kama muumini wa wasafirishaji pembe za ndovu na kuna wakati kuna meli ilikamatwa china na pembe za ndovu na alipobanwa akakiri kuwa kweli anahusika na ile kampuni.

3. Aliwahi kusikika akimsema na kumsimanga bwana Magu baada ya kuonekana kuwabana kwenye mambo yao.

4. Lakini inasemekana pia ni mmoja wa watu waliojibinafsishia channel ten na mali zingine za ccm.
 
Hebu thibitisha hii
 
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA

View attachment 2315002

"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.

Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana,

View attachment 2315008
Mzee Kinana ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu."

Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
#ZiaraYaKinanaMbeya
===============
Ni kweli tupu,CCM ina watu wenye ubunifu,wa hali ya juu.Ni wenye maarifa,ashukuriwe Mungu,muumba.
 
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA

View attachment 2315002

"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.

Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana,

View attachment 2315008
Mzee Kinana ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu."

Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
#ZiaraYaKinanaMbeya
===============

Mijizi ya kura bana mna vituko.
 
Kinana ni mwanasiasa wa kuigwa, mtendaji na ana akili sana, anasema vitu practical na sio mwanasiasa wa maneno hewa..!! He walks the talk..!! Mungu amlinde mzee wetu huyu, Mh. Rais Samia hongera sana kumpa Mzee huyu nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM, Kinana ni hazina ya nchi hii..!!
 
Eti mtiifu na mwadilifu sana. Huyu ana skendo zifuatazo ambazo hazimuweki kwenye hizo sifa labda umsifie kinafiki;
1. Inasemekana akiwa mbunge jimbo la arusha alihodhi mashine za kufulia zilizotolewa kama msaada kwa hospital ya mount meru. Baadae alifungua dry cleaner kubwa na ipo hadi sasa.

2. Peter Msigwa aliwahi kumtuhumu kama muumini wa wasafirishaji pembe za ndovu na kuna wakati kuna meli ilikamatwa china na pembe za ndovu na alipobanwa akakiri kuwa kweli anahusika na ile kampuni.

3. Aliwahi kusikika akimsema na kumsimanga bwana Magu baada ya kuonekana kuwabana kwenye mambo yao.

4. Lakini inasemekana pia ni mmoja wa watu waliojibinafsishia channel ten na mali zingine za ccm.
Katika yote uliyoyasema kuna moja tuu la kweli, ni lile la Kumsema Magufuli, wakati akizunfumza na Nape kwa simu.

La Msigwa, msigwa alipelekwa Mahakamani na akashindwa kesi, akahukumiwa kumlipa malipo makubwa, yakamshimda, akaenda nyumbani jwa Kinana akaomba msamaha na kinana akamsamehe.

La chanel 10 na kujimilikisha Mali za umma , ni uongo wa hali ya juu, huyu Bwana hana hata nyumba ya serekali, anaishi nyumba ya kulipia kodi.

Hakuna mwanasiasa msafi zaidi yake, hakuna kitu anachukia kama rushwa
 
Kinana ana nguvuu Ila jamàa WA barabarani washarejeaa...
Ivi mheshimiwa mbunge mstaafu mkono ajambo?
 
Back
Top Bottom