The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa zama hizi.. Ukweli ni kwamba Kinana yuko vizuri kichwani..Inafika kipindi watu wanapewa sifa za uungu..mnasahau alikuwepo nyerere...yote yatapita hakuna jina Kama yesu. Huyo ndo mwalimu asiye na kifani,NJIA kwel na uzima
Angalia hapa amealikwa kutoa mada kwenye chuo Cha Usalama cha Taifa 👇