CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Nani kamrudisha sasa?Kinana ' the Game changer ' huyu mzee Magufuli alimkimbiza Tanzania
Huyu ni Bora sana Kwa Wana (ccm)ukilinganisha na akina mr.slow na Mr.Balozi KM mstaafu waenzi ya Tano🤔Kinana ' the Game changer ' huyu mzee Magufuli alimkimbiza Tanzania
Kila watu na imani yao,Inafika kipindi watu wanapewa sifa za uungu..mnasahau alikuwepo nyerere...yote yatapita hakuna jina Kama yesu. Huyo ndo mwalimu asiye na kifani,NJIA kwel na uzima
Hebu thibitisha hiiEti mtiifu na mwadilifu sana. Huyu ana skendo zifuatazo ambazo hazimuweki kwenye hizo sifa labda umsifie kinafiki;
1. Inasemekana akiwa mbunge jimbo la arusha alihodhi mashine za kufulia zilizotolewa kama msaada kwa hospital ya mount meru. Baadae alifungua dry cleaner kubwa na ipo hadi sasa.
2. Peter Msigwa aliwahi kumtuhumu kama muumini wa wasafirishaji pembe za ndovu na kuna wakati kuna meli ilikamatwa china na pembe za ndovu na alipobanwa akakiri kuwa kweli anahusika na ile kampuni.
3. Aliwahi kusikika akimsema na kumsimanga bwana Magu baada ya kuonekana kuwabana kwenye mambo yao.
4. Lakini inasemekana pia ni mmoja wa watu waliojibinafsishia channel ten na mali zingine za ccm.
Ni kweli tupu,CCM ina watu wenye ubunifu,wa hali ya juu.Ni wenye maarifa,ashukuriwe Mungu,muumba.KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA
View attachment 2315002
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.
Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana,
View attachment 2315008
Mzee Kinana ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu."
Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
#ZiaraYaKinanaMbeya
===============
Hana uthibitisho,usipoteze mda wako.CCM,ni wabunifu,na wanajitahidi,wananchi tuishi maisha mazuri.Mungu,Muumbaji,ibariki CCM.Hebu thibitisha hii
Ukikua utajuaHebu thibitisha hii
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA
View attachment 2315002
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.
Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana,
View attachment 2315008
Mzee Kinana ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu."
Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
#ZiaraYaKinanaMbeya
===============
Katika yote uliyoyasema kuna moja tuu la kweli, ni lile la Kumsema Magufuli, wakati akizunfumza na Nape kwa simu.Eti mtiifu na mwadilifu sana. Huyu ana skendo zifuatazo ambazo hazimuweki kwenye hizo sifa labda umsifie kinafiki;
1. Inasemekana akiwa mbunge jimbo la arusha alihodhi mashine za kufulia zilizotolewa kama msaada kwa hospital ya mount meru. Baadae alifungua dry cleaner kubwa na ipo hadi sasa.
2. Peter Msigwa aliwahi kumtuhumu kama muumini wa wasafirishaji pembe za ndovu na kuna wakati kuna meli ilikamatwa china na pembe za ndovu na alipobanwa akakiri kuwa kweli anahusika na ile kampuni.
3. Aliwahi kusikika akimsema na kumsimanga bwana Magu baada ya kuonekana kuwabana kwenye mambo yao.
4. Lakini inasemekana pia ni mmoja wa watu waliojibinafsishia channel ten na mali zingine za ccm.
Kikwajuni One ,CCM ni mpango wa Mungu mwenyewe.Ni kweli tupu,CCM ina watu wenye ubunifu,wa hali ya juu.Ni wenye maarifa,ashukuriwe Mungu,muumba.
CCM ni Chama imara sana, vijana kimbilieni CCMHana uthibitisho,usipoteze mda wako.CCM,ni wabunifu,na wanajitahidi,wananchi tuishi maisha mazuri.Mungu,Muumbaji,ibariki CCM.