Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

Inafika kipindi watu wanapewa sifa za uungu..mnasahau alikuwepo nyerere...yote yatapita hakuna jina Kama yesu. Huyo ndo mwalimu asiye na kifani,NJIA kwel na uzima
Kwa zama hizi.. Ukweli ni kwamba Kinana yuko vizuri kichwani..

Angalia hapa amealikwa kutoa mada kwenye chuo Cha Usalama cha Taifa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220803-200502.png
    112.9 KB · Views: 6
Hana uthibitisho,usipoteze mda wako.CCM,ni wabunifu,na wanajitahidi,wananchi tuishi maisha mazuri.Mungu,Muumbaji,ibariki CCM.
Wanatafuta huruma hawa, Kinana uadilifu wake haupimwi kwa chochote,
 
Nguvu ya Kinana inaisaidia nini ccm mbona wao kazi yao ni kuhujumu tu kila uchaguzi ukifanyika.

Kinana ana tuhuma za kuhujumu uchumi kwa kusafirisha wanyama kinyemela nje ya nchi na endapo angekuwa ni kada wa Chadema angefia jela. Kinana hana lolote ni mafisadi tu sawa na wengine waliojaa huko ccm.
 
Humjui kinana wewe.
 
Inafika kipindi watu wanapewa sifa za uungu..mnasahau alikuwepo nyerere...yote yatapita hakuna jina Kama yesu. Huyo ndo mwalimu asiye na kifani,NJIA kwel na uzima
Ndege JOHN shaka kasema Kinana ni chuo kikuu cha masuala ya siasa na uongozi kinachotembea, hajasema ni njia ya uzima wa milele kwamba huwezi fika kwa baba bila kupitia yeye.
 
Ndege JOHN shaka kasema Kinana ni chuo kikuu cha masuala ya siasa na uongozi kinachotembea, hajasema ni njia ya uzima wa milele kwamba huwezi fika kwa baba bila kupitia yeye.
Good, 😍😍
 
Reactions: Tsh
Inafika kipindi watu wanapewa sifa za uungu..mnasahau alikuwepo nyerere...yote yatapita hakuna jina Kama yesu. Huyo ndo mwalimu asiye na kifani,NJIA kwel na uzima
Nani kapewa sifa za Mungu mzee,Chuo kinachotembea
 
Tengenezeni mazingira ya kushinda au kama hamtaki endeleeni na Hadithi za kuibiwa. Hii ngoma awamu hii msipo CHEZA lafu ,uwanjani hakutokua na figisu.
 
Hii nchi hii!!
Mungu atusamehe tu! Tunahitaji uponyaji kwakweli. Huyu mzee unasema ni hazina ya taifa uko serious kweli au umekunywa mtoli?????[emoji1787]
 
Unaweza kuthibitisha haya maelezo yako??? Ndugu mchangiaji?
 
Tengenezeni mazingira ya kushinda au kama hamtaki endeleeni na Hadithi za kuibiwa. Hii ngoma awamu hii msipo CHEZA lafu ,uwanjani hakutokua na figisu.View attachment 2315588
Ccm haijawahi kushinda kwenye mfumo huu wa vyama vingi na ndio maana wanalazimisha wao ndio wateue tume inayosimamia uchaguzi na pia wamefanya vyombo vya usalama kuwa vitengo vyao.
 
Unaishi wapi wewe?
 
Mwizi, jambazi, msaliti. Kila jambo lina expires. Huu ujinga wenu utafika mwisho la safari hii mtakoma, mnadhani hii nchi ni yakuchezewa chezewa. Sasa mnaachea mjianike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…