Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

Daah chama kina gundu mwenezi ni chapati ya maji,yani anatafunwa kama mwanamke
 
Huyu jamaa wa kuitwa Shaka huwa Nina mashaka na marinda ya ubongo wake kabisa😂😂😂😂😂😂
 
Safi shaka mfunde huyo Mnyika, akome kabisa kumfokea mama yetu. Na waache kubagua wapinzani wenzao. Yaani hawajashika Dola ila kuna vyama vyenzao wanavi dharau je siku wakiwa madarakani sijui kama watawasalimia.
ni mama ako wewe na nani?
 
Komredi Shaka H.Shaka yuko sahihi kabisa 👊👍

#KaziIendelee
 
Rais Samia katika maelezo yake alisema hakuna mahali nchini Demokrasia imeminywa na ndio maana vikao vya kikatiba vya vyama mbalimbali vya siasa nchini vinaendelea.
Siasa unayokupa uwezo wa kuandikika kwa ajili ya watu kusoma tuu bila kuwa na miongozo sahihi ya kukufanya uandkike!!!!!!
Katiba na sheria ya vyama vya siasa vinaruhusu mikutano ya hadhara na maandamano pia. - Yeye anasema hapana, nawe unaandika kuna uhuru kamili wa kufanya shjghuli za kisiasa ncnini 🙄 🙄 🙄 Pathetic !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hawa vijana wa ccm sijui akili zao wanazifungia makabatini au ni uwezo mdogo wa kufikiri walionao!
Mnyika ameingilia nini ktk hili? Maskini wa Mungu huyu kijana hajui hata mahakama inaingiliwaje ktk shauri ambalo lipo kwao!
Kati ya Mnyika na Mama SSH nani aliingilia shauri lililo mahakamani? Hovyo sana!
 
Siasa unayokupa uwezo wa kuandikika kwa ajili ya watu kusoma tuu bila kuwa na miongozo sahihi ya kukufanya uandkike!!!!!! Nina hakika kuna shida ya shule kidogo hapo.
Katiba na sheria ya vyama vya siasa vinaruhusu mikutano ya hadhara na maandamano pia. - Yeye anasema hapana, nawe unaandika kuna uhuru kamili wa kufanya shughuli za kisiasa ncnini 🙄 🙄🙄🙄🙄 Pathetic !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili la Chadema kutaka kukutana na Rais Samia wakiwa pekee yao ni muendelezo wa siasa za ubinafsi na ubaguzi ambao umekuwa utamaduni wao jambo ambalo Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia haitazipa nafasi.
Ccm itambue kuwa CDM inafahamu kuwa makundi mengine ya vyama wameunda wao kwa ajili ya kuvuruga upinzani.
Kuna magenge yanajiita vyama lakini hayana hadhi ya kuitwa vyama na yamejengwa na yanalelewa na ccm
 
Umeamkaje leo salama lakini?
Tarehe za clinic ni lini au ndo umefika Gairo kuelekea huko.
 
Hili la Chadema kutaka kukutana na Rais Samia wakiwa pekee yao ni muendelezo wa siasa za ubinafsi na ubaguzi ambao umekuwa utamaduni wao jambo ambalo Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia haitazipa nafasi


Machagadema

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Shaka anadhani uenezi ni kuwafokea wanao tofautiana mitazamo na Samia
 
Yule aliyesema Mbowe alikimbilia Kenya kukwepa mkono wa Sheria dhidi ya Mashtaka ya Ugaidi alipohojiwa na BBC Swahili nae apewe onyo kwa kuingilia uhuru wa Mahakama
Mbona amerudi!
 
Kwani zile kesi za mafisadi na wahujumu uchumi alizifutaje!??? Kumbukumbu mnazo kweli, au!???
Kama zilifutwa kwa kukiuka katiba basi katiba iendelee kukiukwa. Nadhani CDM wanesema kesi iendelee maana raisi akiingilia anavunja katiba. Kwa hiyo kuvunja katiba kunategemea, ikiwa ni kuisadia CDM katiba ivunjwe, lakioni kwa yasiyohusu CDM katiba ilindwe.
 
John Mnyika alionyesha utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu sana.
nilijiuliza swali hivi kama huyu ndio katibu mkuu wa Chadema anaharisha hivi je hao wana chama wengine wa kawaida itakuwaje?!
Jambo hili lina dhihirisha utovu wa nidhamu uliojengeka ktk chama hiki na ni ushahidi tosha kuwa Chadema hakuna uingozi bali kuna kundi la wahuni.
Chadema sio Chama cha siasa bali ni kikundi cha wahuni walio jificha ktk chama cha siasa.
nadhani muda sio mrefu chama hiki kitafutwa rasmi.
 
Hivi Tanzania kuna wagonjwa wa akili wengi sana au wajinga ndo wengi?

Tangu lini mtu kusema ukweli kumrekebisha mkubwa aliesema uongo inatafsirika ni utovu wa nidhamu au matusi kwa aliesema uongo!?
 
Angalia clip ya tarehe tarehe 5/8/2021 Jinsi katibu Mkuu John Mnyika alivyo kuwa anazungumza na waandishi wa habari akiwa ktk viwanja vya Mahakama ya Kisutu alisema;
Mbowe sio gaidi na akatumia fursa hiyo kuwahamasisha wafuasi wa chadema popote pale walipo kuja kwa wingi Mahakamani siku iliyo fuata kwa mabango na vipeperushi.
kweli, siku iliyo fuata yaani trh 6/8 kila mmoja alishuhudia wafuasi wa chadema wakiwa wameandamana Mahakamani huku wakiwa wamebeba mabango yaliyo kuwa yanasomeka;
"Mbowe sio gaidi" "Mbowe aachiwe huru sio gaidi" n.k n.k
kitendo hicho ambacho kiliratibiwa na viongozi wa chadema, Mnyika na wakili wao Kibatala, hakika kilikuwa sio tu kitendo cha kuingilia uhuru wa Mahakama bali pia ilikuwa ni kuishinikiza Mahakama.
Ushahidi wa mabango hayo yapo.
Vitendo vilivyo kuwa vina fanywa na viongozi wa chadema na wafuasi wao ni dhahiri shahiri kuwa hawakuiheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki.
sasa wanaanza kutafuta sababu zisizo na kichwa wala miguuu hilo halikubaliki kamwe.
Kibatala acha visingizo na hoja zisizo za msingi.
Kitendo cha Wakili kibatali kulalamikia kuwa eti kuna taasisi imeeingilia uhuru wa Mahakama ni kutapatapa!!
Kibatala kaona maji marefu sasa anaanza ohhh ehhhh, hapana, kama ni kuingilia Mahakama basi Viongozi wa Chadema sio tu kuwa wameingilia bali wameishinikiza Mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…