ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Mikutano ya ndani hiyoWapeni rukaa wapinzani nao wafanye mikutano
Wapeni rukaa wapinzani nao wafanye mikutano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikutano ya ndani hiyoWapeni rukaa wapinzani nao wafanye mikutano
Wapeni rukaa wapinzani nao wafanye mikutano
CCM chama kinachojari raia wake, Viva CCM
AmeeenView attachment 2328846
SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO"
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua.
Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora alipopokea kilio cha wakina mama wakati alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wakati wa ziara yake.
View attachment 2328851
"Naomba nitumie jukwa hili kuweka msisitizo kwenye maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wizara ya afya pamoja na TAMISEMI juu ya kusimamia takwa la kisera la kutaka watoa huduma za afya kote nchini kutowatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Hapa Bukene DC na Mkurugenzi mmesikia kilio hiki naomba tusitishe tabia hiyo" Amesema Shaka.
View attachment 2328849
Shaka amewaeleza wananchi hao kuwa tayari Rais Samia ameshatoa maelekezo kwa wizara ya afya nchini kufanya mapitio ya gharama za matibabu ili kuja na muongozo utakaowapunguzia mzigo wananchi. Hivyo waendelee kumuunga mkono kwa kumuombea dua na sala pamoja na kutoa ushirikiano kwa serikali anayoiongoza kwa kuchapakazi na kulipa kodi.
View attachment 2328852
Naye Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima ambaye ameambatana na Shaka katika ziara hiyo amewataka wananchi kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano kwa makarani siku ya sensa Agosti 23, 2022.
View attachment 2328850
'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23, 2022'
#CCMIMara
#KaziIendelee
Begi hilo ni mhimu kuwa nalo kwa sababu unaweza kujikuta umejifungulia nyumbani au njiani na huna vifaa vya kukusaidiaVipi lile begi la mama mjamzito analotembea nalo kwa miezi kadhaa kabla ya lujifingua lenye gloves ma khanga nalo wamesamehewa? Sisiyemu bhana.
Inji iii 😂Nchiiii ngumu saana hakuna kinachoeleweka.Sasa huyu anaongea kama nani??kweli katiba inamruhusu kutoa maagizo au Sisi ni nchiiii ya kusadikika.
Lkn wanashindwa kusimama wanayo yasema. Tena kwa sasa hivi watoa huduma wa umma wengi wanadai malipo ili watoe huduma.CCM chama kinachojari raia wake, Viva CCM
Je usipowatoza wanawake wajawazito wanapojufungua unadhani vituo vya Afya vitapata wapi vitendea kazi kama nyuzi, gloves, pamba, bandages etc?View attachment 2328846
SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO"
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua.
Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora alipopokea kilio cha wakina mama wakati alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wakati wa ziara yake.
View attachment 2328851
"Naomba nitumie jukwa hili kuweka msisitizo kwenye maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wizara ya afya pamoja na TAMISEMI juu ya kusimamia takwa la kisera la kutaka watoa huduma za afya kote nchini kutowatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Hapa Bukene DC na Mkurugenzi mmesikia kilio hiki naomba tusitishe tabia hiyo" Amesema Shaka.
View attachment 2328849
Shaka amewaeleza wananchi hao kuwa tayari Rais Samia ameshatoa maelekezo kwa wizara ya afya nchini kufanya mapitio ya gharama za matibabu ili kuja na muongozo utakaowapunguzia mzigo wananchi. Hivyo waendelee kumuunga mkono kwa kumuombea dua na sala pamoja na kutoa ushirikiano kwa serikali anayoiongoza kwa kuchapakazi na kulipa kodi.
View attachment 2328852
Naye Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima ambaye ameambatana na Shaka katika ziara hiyo amewataka wananchi kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano kwa makarani siku ya sensa Agosti 23, 2022.
View attachment 2328850
'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23, 2022'
#CCMIMara
#KaziIendelee
Shaka ni kambale ndioTz nchi ya maagizo, na kila mtu ni kambale kutoa maagizo kwa kwenda mbele, kaazi kwelikweli...
Huyu bwana naomba niseme tu wazi kuwa ni kiongozi mahiri na muhimu Sana kwa Taifa, mengine tumwachie Mungu wetu.View attachment 2328846
SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO"
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua.
Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora alipopokea kilio cha wakina mama wakati alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wakati wa ziara yake.
View attachment 2328851
"Naomba nitumie jukwa hili kuweka msisitizo kwenye maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wizara ya afya pamoja na TAMISEMI juu ya kusimamia takwa la kisera la kutaka watoa huduma za afya kote nchini kutowatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Hapa Bukene DC na Mkurugenzi mmesikia kilio hiki naomba tusitishe tabia hiyo" Amesema Shaka.
View attachment 2328849
Shaka amewaeleza wananchi hao kuwa tayari Rais Samia ameshatoa maelekezo kwa wizara ya afya nchini kufanya mapitio ya gharama za matibabu ili kuja na muongozo utakaowapunguzia mzigo wananchi. Hivyo waendelee kumuunga mkono kwa kumuombea dua na sala pamoja na kutoa ushirikiano kwa serikali anayoiongoza kwa kuchapakazi na kulipa kodi.
View attachment 2328852
Naye Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima ambaye ameambatana na Shaka katika ziara hiyo amewataka wananchi kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano kwa makarani siku ya sensa Agosti 23, 2022.
View attachment 2328850
'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23, 2022'
#CCMIMara
#KaziIendelee
Nani kawazuia, hujawaona BAVICHA kule ShinyangaWapeni rukaa wapinzani nao wafanye mikutano
Huyu mjinga aingie field aone ugumu wanaoupata hawa watu
ShaHuyu mjinga aingie field aone ugumu wanaoupata hawa watu
Huyu mjinga aingie field aone ugumu wanaoupata hawa watu
Shaka hawezi kuwa mjinga ila weweHuyu mjinga aingie field aone ugumu wanaoupata hawa watu
Sahihi,Huyu bwana naomba niseme tu wazi kuwa ni kiongozi mahiri na muhimu Sana kwa Taifa, mengine tumwachie Mungu wetu.
😍😍😍Umeambiwa usitoeKinachofanya mtu atoe pesa ni uchungu ukikuzidia na wanakuangalia kama vile hawakuoni ukiacha unaona kifo mbele yako au unashuhudia mtu anapoteza uhai kisa elfu 5.
Tutafute namna Bora ya kuwahudumia wenye shida